Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Weee usinambie kumbe sisy Joannah kajiweka kwa babu grahms? Jf ya moto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna mtu kasema hapo juu kuwa kampiga chini nani sijui jf watu wakikuamuliaa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!

Tumeambiwa wanawake wa jf wachafu tunanukaaa tunapangwa balaaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ!
 
Kuna mtu kasema hapo juu kuwa kampiga chini nani sijui jf watu wakikuamuliaa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!

Tumeambiwa wanawake wa jf wachafu tunanukaaa tunapangwa balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]!
Daaah nani tena anawakosea adabu hivyo tumpeleke kwa mwamposa

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu kasema hapo juu kuwa kampiga chini nani sijui jf watu wakikuamuliaa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!

Tumeambiwa wanawake wa jf wachafu tunanukaaa tunapangwa balaaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ!
Nani tena kapigwa chini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Waja wa jf wamenishinda πŸ™Œ

Kwenye ilo kundi me anitoe na sinuki labda yeye atuambie alikutana na nani akawa anatoa harufu?
 
Afu na yeye akapita kimya kama hajaona hiyo commentπŸ˜…πŸ˜…
Kuna mtu kasema hapo juu kuwa kampiga chini nani sijui jf watu wakikuamuliaa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!

Tumeambiwa wanawake wa jf wachafu tunanukaaa tunapangwa balaaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…