Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Aisee.

Ubaya wenyewe mimi mwenyewe sijielewi, kwa hiyo lolote litakalotajwa itakuwa sahihi.

Wachina wana msemo wao kwamba kama hujui unakokwenda njia yoyote itakufikisha. It applies to me.
Hahaha hiyo quote ya wachina nimeipenda sana
 
We umekaa ki mboga saba..

Tusaidiane ndugu kuwamaliza memba wote si mchezo mnataka ninunue ugomvi kwa wote si nitafungwa..πŸ˜‚
sjosh4 huyu ni bandidu,asiye na huruma kwenye malovee,ukimwaga mboga namwaga ugali,asiye na hisia kama mti mkavuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
sjosh4 huyu ni bandidu,asiye na huruma kwenye malovee,ukimwaga mboga namwaga ugali,asiye na hisia kama mti mkavuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
AiseeπŸ€”πŸ€”πŸ€”, Ila ujakosea mama, silali na deni, si catch fiilingz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…