Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaKuwa muwazi chama gani maana Kuna vyama vingi hata CHAPUTA ni chama!.. vibamia classic ni chama pia na hicho vibamia mi ndo rais wao..[emoji23]
Hahaha hiyo quote ya wachina nimeipenda sanaAisee.
Ubaya wenyewe mimi mwenyewe sijielewi, kwa hiyo lolote litakalotajwa itakuwa sahihi.
Wachina wana msemo wao kwamba kama hujui unakokwenda njia yoyote itakufikisha. It applies to me.
Hahaha Mimi sio imani yangu hiyo chief ..unanionea tuHii imani yako naifahamu mkuu..
Endelea kuamini hivyo ila kenzy wa nje na key body ni Domo zege la maana..[emoji28]
Nitafanyaje sasa ikiwa wajuba ndio mmeshaamuaNaona hujataka basi tufanye gaidi korofi..[emoji28]
Babeki ..Hii imani yako naifahamu mkuu..
Endelea kuamini hivyo ila kenzy wa nje na key body ni Domo zege la maana..😅
Kwani wewe uliyajuaje ya kwangu.tuanzie hapo kwanza😂😂
Uliyajuaje hayo yote..
What..?
Watoro wa shule bhana..