Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Ile siku nilicheka 😂😂😂
 

Ndio hivyo huku usipokuwa makini utaumizwa sana.

Juzi juzi hapo kuna mtu tumezoeana kawaida ananisalimiaga PM. Hiyo siku akaja akaniomba kama nina info za mdada mmoja humu. Nikamuuliza ni nini akanipa mkasa mzima. Sasa na yeye anachotaka ni adate naye halafu ampige picha za nyuchi kisha atafute namna ya kumdhalilisha. Mimi nikamwambia sina na ni kweli sina maana mimi huwa sihangaiki kumjua mtu yeyote humu. Na hata ningemjua mimi huwa sinaga bifu ya kudumu na mtu hadi nimfanyie hivo. Mimi tukipishana tukichambana yanaisha kesho yake nipo fresh labda yeye aamue kuyabeba.

Sasa huyu mtu ana ID mbili na ninajua atasoma hapa. Akatumia ID yake nyingine ambayo nayo ipo active ndio akatumia kumtafuta huyu dada. Mimi nawaona tu Kwenye Post wanachat mavibe kama yote hadi natamani nimtonye kwamba anachat na adui. Na anaandaliwa mtego tu. Ila nitamwambia tu .

Hii ilishanitokea mimi pia. Kuna mwanaume nilimdabua humu kisawasawa[emoji23][emoji23]. Kumbe kayabeba bhana. Sasa si akatumia ID yake nyingine kunifuata? Ananisalimia PM na ananiambia ni namna gani anavutiwa na michango yangu kumbe anani seti.

Sasa siku tukachat chat kwenye majukwaa kuna mtu akaja kuniambia hivi unajua fulani ndio yule yule uliyemtukana juzi juzi[emoji23][emoji23]. Nikasema kuuuumbe sasa na mimi nikawa nimejua naenda naye namna anavyotaka tuende. Hadi akaja akajua kwamba nimemshtukia.
 
Oooh Lord, tafadhali mshtue, hiyo sio sawa.
Nisikilize Hannah, mimi mtu akinikosea najijua ni mkorofi na ukiniudhi sana naweza kukufuatilia hata miaka 10 nikuadhibu...LAKINI sipendi kudhalilisha mtu.

Hasa kudhalilisha mwanamke sio sawa hata kidogo.
Humu mimi kuna binti aliniudhi sana...uwezo wa kumchafua hadi akimbie mtaa ninao 100% but nimejiapiza sitofanya hivyo haisaidii.

Msaidie mwanamke mwenzio usione aibu hata yakikugeuka lakini nia yako njema Mungu atakusaidia
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Jamani, kwamba watu wanabeba mambo mazito namna hiyo? Huwa wakifanya hivyo wanatafuta nini?
 

Haki tena mimi nitamwambia. Japo wakati mwingine unaweza kumwambia mtu akakuona mchawi ila nitamwambia.
 
Haki tena mimi nitamwambia. Japo wakati mwingine unaweza kumwambia mtu akakuona mchawi ila nitamwambia.
Nisome vizuri...fanya kwa upande wako uwe na amani, mibongo ni bure unaweza kumshitua lkn yakienda kubadilishana mbegu...akasema eti Hannah alisema vile...siku likiumizwa linakukumbuka.

We mwambie halafu pita hivi
 
Dohh!! Ni Hatari sana hii
 
Lamomy cocastic Tayana-wog Missy Gf Joannah na wadada wengine tuwe makini wapendwa!!


Shukrani sana madam
 
Kwanza mbona Mjep anatutumia vocha kila siku na halalamiki.


Mimi nilivyoona vocha zinatumwa Kwa sifa siku zile tena nilikuwa busy zikanipita... Nikawaza hivi vocha kweli ni sadaka kama anavyofanya Mjep ana Kuna kitu.
Mtu anaanza kulialia kisa alikupa hela aiseee😂🤣ni mambo ya ajabu .
 
Unajua pdf zilivyoanza kushushwa watu walianza kulia na kuomboleza Kwa mods wafute Uzi🤣🤣🤣
Isingekuwa vilio vya wachache Uzi wetu ungekuwepo.

Unaliaje Kwa mod
Adui akija we pambana naye hadi mwisho mshindi anapatikana🤣
Ndo ilikuwa kanuni ya uzi wetu.
 
Watu kwa sifa utawaweza??? Kama alivokua anatamba kuwala wewe na mama pasta humu Nilivosikia nilichekajee nikasema maombi yalikua yanaenda na dawa hahaha Jf usiamini kila unalosikia kiukweli!

Vocha zilikua zinarushwa hadi za laki moja mbona!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…