Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ile siku nilicheka 😂😂😂Mod mpumbavu sana yule,
Picha zenu za ngunyani zilimkosea Nini?
Akaanza kufuta chats zetu kisa ujinga wa watu wachache waliokosa uvumilivu baada ya kuanza kuwekeana mafile..Kwa mara ya kwanza toka najiunga jf nikapigwa ban ile siku.
Sema kivumbi kiliendelea nyuzi nyingine
Mtanange Sema hawakumaliza bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Freeee watuma mafile
Njoeni mmalizie.