Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Kumbe kulikua na mazito hivi nyieeee!!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Adui usimuogope
Me nawakanda mpk wanakuja na id mpya, nazo wakija nazo nawapiga spana wanakimbilia kunireport kwa modes

Ss nataka niongee na Mello niikatie bima id yangu isiwe inasumbuliwa na ban [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa!!
Mello ameshanizoea huwa namchachuaga TSUP.
 
Simba hachezi leo, leo nilikua namuangalia crush wangu Shalulile wa sundowns, afu katupia bao kaliiii.

Mfupi wa uno kuuteka mtima wa coca. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha nilikaonaaa ! Leo Mamelodi wamejua kumkomesha mwaarabuuu shenzao!
 
Wee sema kweli?

Aisee huwa naonana na wana-Jf; ila huwa tunawasiliana kwenye simu ndiyo tunatukana. Sijawahi kukutana na mtu kupitia comments.

Afu coca na wewe; hilo pdf hakuna watu/ mtu ulim-forwadia; atafute kwenye convo huko mnitumie wajameni?
Ckuwahi mtumia mtu, nilivokua nakuheshimu,
Nisingeweza hata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii niumie kwa JF kwelii? Naumia km baba tamuu akininyimaa mkunyengee.
Yaan akiumwaa nakua mpoleee, namuambia " bas tufanye pole polee"

Woiiiih
Naona victims ni wengi humu! Kweli humu usishadadie usiyoyajua! Yani ya kuyasukia tu bila kuwa na uhakika wa unachokishupalia!!
 
Nimeshtukajee hapo mi nilikua najua ya kutoka nae tu hio ya picha itakua nilipitwa uwiii kweli selfika kilikua na mabalaa mazito!!πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Watu wamekaa wanamjadili mama pasta
Wanamnanga kwa picha ambayo hata siyo yake.


Kubwa zaidi wanasubiri tufeπŸ˜‚
Wajinga,,junia wangu watamlea wao?🀣
 
Hebu sema kweliii
 
[emoji23][emoji23][emoji23]umeujua mchezo wa huku vizuri.
Jf ukiwa na roho nyepesi au unajua kuna kapoint wakikupatia watakuumiza sana inabidi ukae kimya hata usilike mtu akichambwa.
Acha uogaa weyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF mbna nyepesii sana.
 
Mimi nasikitika bosiledi

Nimefuta undugu na wewe na coca; sio kwa kuenjoy huko Pdf langu kimyakimya.
Kumbe mpdf wako ndo ulikua deep hivo mama pasta hakii leo ndo nimejua Kwanini uliipotezea mazima selfika πŸ™Œ!!

Kuna story nyingine ukizisikia unajua kabisa hii kiki kwa dizain ya mtoa taarifa unaskiza unameza mate unaendelea na mambo yako!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu unayawezaa weyeee, khaaah
 
Nilikuwepo
Unavyochambwa nilikuwepo nashuhudia mtu anavyotoka povu Kwa hela aliyoamua kutoa Kwa hiari yake.

Mimi hadi Uzi unafungwa nilikuwepo,, si ndio nilianza kugombana na mods Kwa kunipa ban [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Mjep hana mke zaid yangu.
Ucnirushe roho tafadhari.
 
Watu wamekaa wanamjadili mama pasta
Wanamnanga kwa picha ambayo hata siyo yake.


Kubwa zaidi wanasubiri tufeπŸ˜‚
Wajinga,,junia wangu watamlea wao?🀣
Wewe na yeye pia yasemekana wote mlipitiwa nikabaki kusema kweli si kila asemae bwana bwana ataiona mbingu hadi hawa kweli??? Tena wote wawili jf nyieee, πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…