Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Unajua mnaweza kurahisisha tu eti yashapita.

Kumbuka watu wanaotema nyongo walikuwa kimya...

HS alikuwa kimya, na hizo vuguvugu zinazidi kuendelea...
Dada na heshima zake anazidi kuchafuliwa atakaaje kimya?


Mshawahi kuwaza wengine Wana mahusiano humu..
Mtu wako anakuja kuona fedheha hizi
Na mtu umekaa kimya tu

Nyie acheni kabisa[emoji23]
Kumbe kulikua na mazito hivi nyieeee!!!🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Adui usimuogope
Me nawakanda mpk wanakuja na id mpya, nazo wakija nazo nawapiga spana wanakimbilia kunireport kwa modes

Ss nataka niongee na Mello niikatie bima id yangu isiwe inasumbuliwa na ban [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa!!
Mello ameshanizoea huwa namchachuaga TSUP.
 
Simba hachezi leo, leo nilikua namuangalia crush wangu Shalulile wa sundowns, afu katupia bao kaliiii.

Mfupi wa uno kuuteka mtima wa coca. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha nilikaonaaa ! Leo Mamelodi wamejua kumkomesha mwaarabuuu shenzao!
 
Wee sema kweli?

Aisee huwa naonana na wana-Jf; ila huwa tunawasiliana kwenye simu ndiyo tunatukana. Sijawahi kukutana na mtu kupitia comments.

Afu coca na wewe; hilo pdf hakuna watu/ mtu ulim-forwadia; atafute kwenye convo huko mnitumie wajameni?
Ckuwahi mtumia mtu, nilivokua nakuheshimu,
Nisingeweza hata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamanii niumie kwa JF kwelii? Naumia km baba tamuu akininyimaa mkunyengee.
Yaan akiumwaa nakua mpoleee, namuambia " bas tufanye pole polee"

Woiiiih
Naona victims ni wengi humu! Kweli humu usishadadie usiyoyajua! Yani ya kuyasukia tu bila kuwa na uhakika wa unachokishupalia!!
 
Nimefanya juhudi kusoma kuanzia mwanzo hadi hapa, inaonekana kuna Wazee wa aina mbili humu wametajwa.

Bahati mbaya huyo mwingine sijamjua.............ila huyo mwingine ni kama anataka kufananishwa na Mimi.

Inaonekana kuna watu humu wanajaribu kunihusisha na hao wazee wengine wa hovyo ili wapate ya kusema.

Bahati nzuri kwa umri wangu siwezi hata kwa bahati mbaya kutembea na binti yeyote humu. Sio leo wala kesho, sina huo mpango.

Inakuwa ni aibu kwa mtu mzima kumvulia nguo binti mdogo, binafsi sijazoea labda hao wazee wengine wasiojiheshimu.

Kama kuna binti ana uhakika amewahi kulala na Mimi au hata kuonana na mimi aseme hapa, nina zawadi yake ya dollar 35 nimtumie chap saivi.

Wazee wengine tumezoea utani na kufurahi, naomba nisihusishwe na hayo yanayoendelea.

Cheers [emoji482]
Hebu sema kweliii
 
[emoji23][emoji23][emoji23]umeujua mchezo wa huku vizuri.
Jf ukiwa na roho nyepesi au unajua kuna kapoint wakikupatia watakuumiza sana inabidi ukae kimya hata usilike mtu akichambwa.
Acha uogaa weyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JF mbna nyepesii sana.
 
Mimi nasikitika bosiledi

Nimefuta undugu na wewe na coca; sio kwa kuenjoy huko Pdf langu kimyakimya.
Kumbe mpdf wako ndo ulikua deep hivo mama pasta hakii leo ndo nimejua Kwanini uliipotezea mazima selfika 🙌!!

Kuna story nyingine ukizisikia unajua kabisa hii kiki kwa dizain ya mtoa taarifa unaskiza unameza mate unaendelea na mambo yako!!
 
Selfika nilikuwa sipafatilii ila kuna siku nilikuwa namtafuta coca ndo nikaibukia huko
Nilivyofika wee nikaona watu oyaa oyaa full mavibe, mara coca anitambulishe shemeji yangu!
Sijakaa sawa naambiwa chagua mume khaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Namna gani tena? Mara vocha za gombania zinamwagwa watu wanakanyagana kuwahi
Mara naona watu wanatupia foto, nikaona mambo si ndo haya sasa [emoji23][emoji23][emoji23]

Nikaweka kambi niwasome, nilivyoona humu wanachekeana kwenye maandishi moyoni kila mtu kamshikia mwenzie panga nikaona jau
Kuchunguza vizuri kumbe humo ndani wako wake wenza tupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu wanaogopana kupeana makavu
Ghafla akaibuka babu na mabakuli na figo 2
Nao wana crew yao aiseee!!!

Sema tutengeneza series watu wangu tungeuza kinoma, emu tufanyeni jambo ujue kuna visa vingi sana mule tutapiga pesa ndefu wanaselfika
Mkinga na pesa sasa [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu unayawezaa weyeee, khaaah
 
Nilikuwepo
Unavyochambwa nilikuwepo nashuhudia mtu anavyotoka povu Kwa hela aliyoamua kutoa Kwa hiari yake.

Mimi hadi Uzi unafungwa nilikuwepo,, si ndio nilianza kugombana na mods Kwa kunipa ban [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena wewe ndo umechangia selfika kufa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila selfika ni zaidi ya series mule kulikua na visa vingi, kwanza mimi na wewe tyr tunapata episodes km 100 hivi bado Antonnia na miongozo na wake wenza wake afu babu ndio KUBWA LA MAADUI anakuja kupigwa na Rabbitus yule wa demu wa sate sauzand [emoji23][emoji23][emoji23]
Akija coca na Mjep na wale wake wenza wenzie wanawake toleo jipya awwww hatareeee!! Bado wengine wengine

Nyie tutapiga pesa kweli mjue, hizi pesa zinapotea [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Mjep hana mke zaid yangu.
Ucnirushe roho tafadhari.
 
Watu wamekaa wanamjadili mama pasta
Wanamnanga kwa picha ambayo hata siyo yake.


Kubwa zaidi wanasubiri tufe😂
Wajinga,,junia wangu watamlea wao?🤣
Wewe na yeye pia yasemekana wote mlipitiwa nikabaki kusema kweli si kila asemae bwana bwana ataiona mbingu hadi hawa kweli??? Tena wote wawili jf nyieee, 🙌🙌🙌🙌🙌!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom