Nimefanya juhudi kusoma kuanzia mwanzo hadi hapa, inaonekana kuna Wazee wa aina mbili humu wametajwa.
Bahati mbaya huyo mwingine sijamjua.............ila huyo mwingine ni kama anataka kufananishwa na Mimi.
Inaonekana kuna watu humu wanajaribu kunihusisha na hao wazee wengine wa hovyo ili wapate ya kusema.
Bahati nzuri kwa umri wangu siwezi hata kwa bahati mbaya kutembea na binti yeyote humu. Sio leo wala kesho, sina huo mpango.
Inakuwa ni aibu kwa mtu mzima kumvulia nguo binti mdogo, binafsi sijazoea labda hao wazee wengine wasiojiheshimu.
Kama kuna binti ana uhakika amewahi kulala na Mimi au hata kuonana na mimi aseme hapa, nina zawadi yake ya dollar 35 nimtumie chap saivi.
Wazee wengine tumezoea utani na kufurahi, naomba nisihusishwe na hayo yanayoendelea.
Cheers [emoji482]