Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Nyaaambaaaafffff....

Yaaani unamnyasanyasa mahtan wangu, acha nikurukie mwenyewe nikupe za "snake and the monkey shadow fight".
Nirukie tu ila ukirudi kwake akakuuliza "hii mimba umeitolea wapi.." mjibu kwa mtu mwenye meno yake anaejua kuuma..๐Ÿ˜‚
 
Nirukie tu ila ukirudi kwake akakuuliza "hii mimba umeitolea wapi.." mjibu kwa mtu mwenye meno yake anaejua kuuma..๐Ÿ˜‚

Shubaaamiittt
Hii vita ngoja niiuze, leo jiandae kulala selo kwa kutaka kuleta madhara kwenye mali asili za seri kali.

Babuuuuuu babuuuuu Asprin
Njoo huku huyu mjukuu wako alitoroka jando uje umrudishe anasumbua vilembwe huku.
 
Hahahahah hii ya mboga saba huwa naambiwa hata huku kwenye real life japo sio kweli

Unamjua Don Clericuzio ?
Naomba na yeye uotee yake ๐Ÿคญ
We umekaa ki mboga saba..

Tusaidiane ndugu kuwamaliza memba wote si mchezo mnataka ninunue ugomvi kwa wote si nitafungwa..๐Ÿ˜‚
 
Hahahhahah
Mleta mada inaonekana ana kitu ndani yake,manake alichotaja kuhusu mimi ni kitu naambiwaga kweli

Akiotea yako inaweza kukaribiana na ukweli pia

Aisee.

Ubaya wenyewe mimi mwenyewe sijielewi, kwa hiyo lolote litakalotajwa itakuwa sahihi.

Wachina wana msemo wao kwamba kama hujui unakokwenda njia yoyote itakufikisha. It applies to me.
 
Shubaaamiittt
Hii vita ngoja niiuze, leo jiandae kulala selo kwa kutaka kuleta madhara kwenye mali asili za seri kali.

Babuuuuuu babuuuuu Asprin
Njoo huku huyu mjukuu wako alitoroka jando uje umrudishe anasumbua vilembwe huku.
Asprin
Babu baharia wa nchi kavu..

Hawezi nivimbia maana anajua chamtu huliwa na mtu..๐Ÿ˜‚
 
Shubaaamiittt
Hii vita ngoja niiuze, leo jiandae kulala selo kwa kutaka kuleta madhara kwenye mali asili za seri kali.

Babuuuuuu babuuuuu Asprin
Njoo huku huyu mjukuu wako alitoroka jando uje umrudishe anasumbua vilembwe huku.
Asikusumbue sana, hana lolote kama Bashite na Urais wa Kigamboni...

Chaliiii mamamamae zake na kalio mbendembende kama pasi ya mkaa

Ngoja niendelee kwanza kufanya uzinzi na K Vant ya baridi na juisi ya mapapai
 
Wa kimboka[emoji102][emoji125][emoji2536]
images (3).jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom