Tuttie
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,263
- 1,304
kazia Meno kabisa😶Nakazia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kazia Meno kabisa😶Nakazia
😶😶🙊Aisee
Pole Sana best...acha kuteseka na mm..hatufanani kbs. Wewe ni wewe na mm ni Mimi!..Sijawahi kuteseka nawe, wewe mwenyewe walijua hilo.
Pita zako huwa zina msaada kwetu.
Usiuchukulie uzi serious, umekuja for fun tu.😀
Hakuna maendeleo bila ubishi, ubishi fikirishi.Si uzi wa kutumia akili kubwa ni sehemu ya burudani tu!..
Mtag mtu kisha andika sifa yake moja tu jinsi unavyomfikiria kutokana na vile anavyoitumia I'd yake lkn kwa kufuata sheria za jf isiwe uwanja wa matusi au kurushiana visirani..😅
Mshana Jr
Mganga mashuhuri..!
Kasie a.k.a matata
Bibi mkorofi kitandani..😅
Kiranga
Mtu mbishi tu!
Mzee Mwanakijiji
Hekima..
Chizi Maarifa
Jina linajieleza..😅
Shunie
Mdada mkarimu..
MLEVi Mmoja
Mfano wa waliokuwa wanakula ada shuleni..😂
GuDume
Mtu anaezeeka vibaya..😅
Saint Anne
Kondoo wa bwana..
lliedie
Kabinti kapolee..🤗
Depal
Mwenye misimamo lkn tatanishi..😜
Miss Natafuta
Kamati ya kudang..a😎🙈
Don Nalimison
Mtu mwenye malalamiko😂
Kiduku Lilo
Ile hela tuma kwenye namba hii..😂
katoto kazuri
Anajifunza umbea..😅
Money Penny
Kamati ya michambo na udaku..🏃
List iendelee..
Nakubaliana nawe but kuna siku nilikomenti mahali kiutani napenye ukachukulia serious kinyama.. hapo ndo nikajua hii kichwa ni mbele kwa mbele..😂😅Hakuna maendeleo bila ubishi, ubishi fikirishi.
A specter of Hegelian dialectic surrounds Kiranga the humble seeker.
Ahsante.
Naomba radhi kama nimekukwaza🙏Pole Sana best...acha kuteseka na mm..hatufanani kbs. Wewe ni wewe na mm ni Mimi!..
Nakubaliana nawe but kuna siku nilikomenti mahali kiutani napenye ukachukulia serious kinyama.. hapo ndo nikajua hii kichwa ni mbele kwa mbele..[emoji23][emoji28]
Kuna kimoja hapo sio kweli.Paula Paul
Kazuri mwili mpk akili..😉
That's for you to find out KENZY.Which one..?
Mboga saba huwa hawabet,mie nabet ujue [emoji1787]
Nisaidie huyo mmoja tu,wengine nitaanza kutiririka nao mimi
Nataja wengi
Shadeeya
Mdada mstaarabu kama pacha wake hapa [emoji4]
Sanchez magoli
Mvivu sana wa kuchat
chaliifrancisco
Kada mtiifu wa #YNWA anaweza akafa huyu kwa ajili ya team yake
SHIMBA YA BUYENZE
Mstarabu lakini nahisi kama mgomvi huyu
The Monk
Hana maneno mengi
Zoë
Mbishi huyu,akisimamia kitu tena kikiwa kinahusu utetezi wa wanawake anaweza kubishana na JF nzima
Nitaendelea....