Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Si uzi wa kutumia akili kubwa ni sehemu ya burudani tu!..
Mtag mtu kisha andika sifa yake moja tu jinsi unavyomfikiria kutokana na vile anavyoitumia I'd yake lkn kwa kufuata sheria za jf isiwe uwanja wa matusi au kurushiana visirani..[emoji28]

Mshana Jr
Mganga mashuhuri..!

Kasie a.k.a matata
Bibi mkorofi kitandani..[emoji28]

Kiranga
Mtu mbishi tu!

Mzee Mwanakijiji
Hekima..

Chizi Maarifa
Jina linajieleza..[emoji28]

Shunie
Mdada mkarimu..

MLEVi Mmoja
Mfano wa waliokuwa wanakula ada shuleni..[emoji23]

GuDume
Mtu anaezeeka vibaya..[emoji28]

Saint Anne
Kondoo wa bwana..

lliedie
Kabinti kapolee..[emoji847]

Depal
Mwenye misimamo lkn tatanishi..[emoji12]

Miss Natafuta
Kamati ya kudang..a[emoji41][emoji85]

Don Nalimison
Mtu mwenye malalamiko[emoji23]

Kiduku Lilo
Ile hela tuma kwenye namba hii..[emoji23]

katoto kazuri
Anajifunza umbea..[emoji28]

Money Penny
Kamati ya michambo na udaku..[emoji125]


List iendelee..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nataja wengi

Shadeeya
Mdada mstaarabu kama pacha wake hapa [emoji4]

Sanchez magoli
Mvivu sana wa kuchat

chaliifrancisco
Kada mtiifu wa #YNWA anaweza akafa huyu kwa ajili ya team yake

SHIMBA YA BUYENZE
Mstarabu lakini nahisi kama mgomvi huyu

The Monk
Hana maneno mengi

Zoë
Mbishi huyu,akisimamia kitu tena kikiwa kinahusu utetezi wa wanawake anaweza kubishana na JF nzima

Nitaendelea....
Zoe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
The Monk huyu brother namuona mstaarabu jf nzima.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana kweli ila personally namkubali sana huyu brother.
Bado sijaona wa kumfananisha naye humu
Mi si likorofi nimetulia sina makuu na wala sikorofishi mutu hata sitongozagi kwanza mi Domo zege..
 
Mi si likorofi nimetulia sina makuu na wala sikorofishi mutu hata sitongozagi kwanza mi Domo zege..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom