ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Ni vinini hivyo?Karibu tunywe uji wa oats 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vinini hivyo?Karibu tunywe uji wa oats 🤣
sitokuja kwa kweli😂Ahsante ndugu,sasa mshamba hachekwi ataniletea nini na yeye ?nataka ahadi yake
Viuji🤣🤣🤣Ni vinini hivyo?
Hata mimi napenda hizo😂Nataka zile za kubana kwanza,napenda zimbane kifuani hata akinihug zile feelings napata baada ya tirriii kunidunga roho niseme "wooow" blood flowing iwe ya kiwango cha juu🤤
Hauko na bidhaa nyingine nilipie umpelekee?😉
Wakati sauti ya usingizini ndio inakuwa mbaya aiseeNi vile tu nilikuwa nimetoka usingizini 🤣🤣🤣
Eee shem maokoto ndo kila kitu 🤣cheupe dawa unawaza maokoto tu🤣
Limeisha boss nakutumia sample uchagueNataka zile za kubana kwanza,napenda zimbane kifuani hata akinihug zile feelings napata baada ya tirriii kunidunga roho niseme "wooow" blood flowing iwe ya kiwango cha juu🤤
Hauko na bidhaa nyingine nilipie umpelekee?😉
Unatuma sample? Hawa watu unavyowageuza watoto kuna siku utakamatika tu[emoji23]Limeisha boss nakutumia sample uchague
Niweke mzigo wa million ngapi? [emoji12]
Tulia basi nifanye biashara 🤣🤣🤣Unatuma sample? Hawa watu unavyowageuza watoto kuna siku utakamatika tu[emoji23]
Mbona unanipa hofu🤣Tulia basi nifanye biashara 🤣🤣🤣
Hofu ya nini tajiri? Huyo mume wangu usimuogope anafanya patrol tu 😂😂😂Mbona unanipa hofu🤣
Pesa itafika na mzigo utafika kweli kwa mlengwa?🤣Hofu ya nini tajiri? Huyo mume wangu usimuogope anafanya patrol tu 😂😂😂
Na anaamini kabisa [emoji23][emoji23]Tulia basi nifanye biashara [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani sifanyi biashara kweli? 😂😂😂Na anaamini kabisa [emoji23][emoji23]
Haya bana
OhoooohNa anaamini kabisa [emoji23][emoji23]
Haya bana
Hivi babe unauza zile African purse?Tulia basi nifanye biashara 🤣🤣🤣
Utafika bana mbona una wenge sasa? 😂😂😂Pesa itafika na mzigo utafika kweli kwa mlengwa?🤣