Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
Mimi sio mgomvi hata kidogo. Siwezi kuongea sana maana nitapandwa na hasira nikutangwe na kitu chochote ufe😂Jicho hilo la kichokozi ukose ugomvi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio mgomvi hata kidogo. Siwezi kuongea sana maana nitapandwa na hasira nikutangwe na kitu chochote ufe😂Jicho hilo la kichokozi ukose ugomvi wewe
Ww mwanzoni alikua anakutaka, nilikua nacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo alitakiwa kudate na nani?
Mbona wanaendana au mwenzetu unatumia vigezo gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi anaendana na me shemeji yake wote wabaya [emoji1787]
Viko sponsered na mademu kwa taarifa yako sasa 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Hao hawafai, kuna vicrew vya kila aina kazi ni hiyo
🤣🤣🤣🤣Viko sponsered na mademu kwa taarifa yako sasa 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Ananitania hajawahi kunitaka 😂😂😂Ww mwanzoni alikua anakutaka, nilikua nacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Yule dogo kwenye kichwa haiko sawa
dah,Kweli nakwambia🤣🤣🤣.
Alikuwa anani admire sana mara anikatae😂😂😂
Wala simpanikishi, hiyo tabia wanayo kweli. Ww mwenyewe waliwahi kukuletea hizo pigo sema wanakuogopagaWewe unampanikisha ms eyes akagombane na mshamba lione [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikua sijamuona kweliMsanii huyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe napata mambo yako hapa kwanza, tulia.dah,
what happened to age is just a number?
dah, ni vile tu sipo darslum😢
Siri zipi [emoji23]?Walikuwa wanatoleana siri zao za chini ya carpet [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti shem hujamkula ms eyes? 😜dah,
what happened to age is just a number?
dah, ni vile tu sipo darslum😢
Muda wanao mwingi sana, 24/7 wapo active hawana lingine zaidi ya hiloHivi muda wa kuanzisha vi crew wanatoa wapi?
Shem😂😂😂😂Eti shem hujamkula ms eyes? 😜
Za rangi rangi ya mvua na yanayotokea piemuni 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Siri zipi [emoji23]?
Toka lini ukawa muoga??[emoji23][emoji23]Akuuu sitaki kusutwa me [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio wanaanza kudiscuss kwamba fulani nimemkula😂🙌Muda wanao mwingi sana, 24/7 wapo active hawana lingine zaidi ya hilo
Hapo sasa, mademu gani? Usiweke uoga hapa wataje[emoji23]Viko sponsered na mademu kwa taarifa yako sasa [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Usiwasikilize aiseeWewe napata mambo yako hapa kwanza, tulia.
Jiongeze Mkuu!Umesema unafanyaje? Rudia tena kuweka msisitizo😁😁