Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Atafurahi sana kukuona.......maana sio kwa kukumisi kuleBibi mwambie nitamletea Kitenge,ila Babu kumbe nasikia unachezea tu pension mbona mi hunipi?nakuja kuchukua umoja kadi ya TPB nikiwa kama mjukuu wako wa kwanza nidhibiti matumizi ya hovyo ya pesa za familia🤣
Ila si unajua nimemaliza kusomesha Watoto wote, wacha nimalizie pension yangu 🤗🏃🏃🏃