Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Bibi mwambie nitamletea Kitenge,ila Babu kumbe nasikia unachezea tu pension mbona mi hunipi?nakuja kuchukua umoja kadi ya TPB nikiwa kama mjukuu wako wa kwanza nidhibiti matumizi ya hovyo ya pesa za familia🤣
Atafurahi sana kukuona.......maana sio kwa kukumisi kule

Ila si unajua nimemaliza kusomesha Watoto wote, wacha nimalizie pension yangu 🤗🏃🏃🏃
 
Bibi mwambie nitamletea Kitenge,ila Babu kumbe nasikia unachezea tu pension mbona mi hunipi?nakuja kuchukua umoja kadi ya TPB nikiwa kama mjukuu wako wa kwanza nidhibiti matumizi ya hovyo ya pesa za familia🤣
😂😂😂😂 uchukue mara ngapi?
Si wamesema we ndio unaimiliki ss hivi 🤣🤣🤣
Jf watu wanakujua kuliko unavyojijua mwenyewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom