Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Asante shemeji!maana Hawa watoto Leo wameniamsha na habari eti Mimi nipo na huyo babu Yao,nikashangaa mno!Wanamsema mtu wangu huyu wa nguvu wanataka ninunue hii kesi tu
Wamuache aisee, huyu ana heshima zake nyingi