Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
FaizaFoxy
Mdini alieshindikana.anaeamini yy ni muarabu .(huu ujinga umejaa sana zanzibar) pia kwake wakristo kisirisiri huwa wakiwa vikao vyao wanawaza kuhakikisha waislamu hawaendelei hahahahaj .na kila mtu anaamini dini yake ndo ya kweli.ila huyu kapitiliza anaamini asie muislamu ni mtu wa daraja la chini na kati ya watu bil 8 hao waislamu bil 1 tu ndo wataenda kurith mabikra wengine bil 7 watachomwa jahanam hahahah.
Na vita ya Israel na palestina ni ya kugombea ardhi iko wazi .yeye kwake huwa ni vita ya waislamu na wakristo bila kujua israel wakiristo ni asilimia 3%
 
Wewe una nafuu uduguuu mimi sasa nina roho ngumu paka akasome! Yaniii nilishasemwaga toka kitambo sana humu nashukuru mungu nyota yangu bado inang'aa🤠🤠😁🤣!
Adui usimuogope
Me nawakanda mpk wanakuja na id mpya, nazo wakija nazo nawapiga spana wanakimbilia kunireport kwa modes

Ss nataka niongee na Mello niikatie bima id yangu isiwe inasumbuliwa na ban 😂😂😂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom