Anna Mwaigomole
Member
- Aug 23, 2023
- 18
- 57
Siyo wewe peke yako. Anagawa dislike kwa kila mtuMdudu wa bunju mkuu nimekukosea lolote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo wewe peke yako. Anagawa dislike kwa kila mtuMdudu wa bunju mkuu nimekukosea lolote?
Wee wa vipajii ile siku ulisemwa ukafuraa balaaa 🤠!Nimecheka sana😁😁😁, jamani mkiwa na nguvu wekaneni, tena kipindi hiki ndio kipindi maalum kabisa. Halafu wakija kuwasema humu mnatupia tu emoj za furaha👊💪
Dah noma kweli ndio maana anatembeza dislike kwa sisi wanaume tusiokubali kula mashoga😂😂😂😂Namjua ni gay kuna mwanangu ashamla
😁😁😁😁we acha tu, na yule mtoto sijamuona tena toka siku zile, ila wewe ni mlaini sana sana.Wee wa vipajii ile siku ulisemwa ukafuraa balaaa 🤠!
Huyo jamaa simkubali hata kidogo. Ndio ujinga tunaozungumzia humu.Dah noma kweli ndio maana anatembeza dislike kwa sisi wanaume tusiokubali kula mashoga😂😂😂😂
Mi kinachonikera humu ni ile mtu kunikomalia as if anajua undani wanguu! Hiko tu ndo sipendagi !Na najua laiti mtu angejua maisha yangu hata robo humu wangeshasimulia kila siku kunihusu wanaishia kuongelea yaleyalee ya miaka 47 !Nacheeeekajeee!Adui usimuogope
Me nawakanda mpk wanakuja na id mpya, nazo wakija nazo nawapiga spana wanakimbilia kunireport kwa modes
Ss nataka niongee na Mello niikatie bima id yangu isiwe inasumbuliwa na ban 😂😂😂
Huyo anategemea nimtetee muoga balaa wakimbananisha 😂😂😂😂Na kwenye kununua kesi upo vizuri sana hahaa!☺️
Nambie rafiki
SafNambie rafiki
Mie najali hata ! Bila shaka u mkongwe humu unajua ningekua mlaini ningeshakimbiaga kitambo sana humuu tena ndiokwanza nataka niirudishe username yangu sema walipita nayo!😁😁😁😁we acha tu, na yule mtoto sijamuona tena toka siku zile, ila wewe ni mlaini sana sana.
Km me wanahangaika kunijua sijaona 🤣🤣🤣Mi kinachonikera humu ni ile mtu kunikomalia as if anajua undani wanguu! Hiko tu ndo sipendagi !Na najua laiti mtu angejua maisha yangu hata robo humu wangeshasimulia kila siku kunihusu wanaishia kuongelea yaleyalee ya miaka 47 !Nacheeeekajeee!
Jf Usiruhusu watu kukujuaa!
Nitamlinda kwa wivu mkubwa sana[emoji23]Nisaidie kumlinda nimesafiri kidogo
😂😂😂 kumbe muoga?😂😂Kumbe watu mna roho za paka na hamsemii ...anajua sikawii kulia ndio maana kanitoa
Yani jf ukitaka uishi kwa raha Usiruhusu watu kukujuaa kama ni wa kufahaiana nao fahamiana na wachache sana wenye akili timamu!Km me wanahangaika kunijua sijaona 🤣🤣🤣
Ss hivi wanawatuma watu waniombe namba za simu 🤣🤣🤣
Mbinu za kizamani kweli wanatumia!! Jf kwenyewe naingia kwa VPN
Humu sitoi namba kwa yeyote hata wasijisumbue kwa hilo
Sasa hivi napuuzia zaidi. Muda na nguvu sio rafiki tenaNa kwenye kununua kesi upo vizuri sana hahaa![emoji3526]
Nampenda sana[emoji7][emoji23][emoji23][emoji23] Watu na mashemeji zenu