Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Wee sema kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas yeye akawaambia watu kuwa ni kweli hizi jokes zenu
Aisee huwa naonana na wana-Jf; ila huwa tunawasiliana kwenye simu ndiyo tunatukana. Sijawahi kukutana na mtu kupitia comments.
Afu coca na wewe; hilo pdf hakuna watu/ mtu ulim-forwadia; atafute kwenye convo huko mnitumie wajameni?