Tag na weka sifa yake moja tu...

Tag na weka sifa yake moja tu...

Status
Not open for further replies.
Watu kwa sifa utawaweza??? Kama alivokua anatamba kuwala wewe na mama pasta humu Nilivosikia nilichekajee nikasema maombi yalikua yanaenda na dawa hahaha Jf usiamini kila unalosikia kiukweli!

Vocha zilikua zinarushwa hadi za laki moja mbona!
Hatari sana😂😂😂😂😂
Sisi tulikuwa tunamtafuta aliyetunga stori maana haiingii akilini mtu from no where hawajui ,aanze kuwatungia uongo.

Nashangaa hapa naambiwa ni yeye mwenye 🤣
Siamini.
 
Hatari sana😂😂😂😂😂
Sisi tulikuwa tunamtafuta aliyetunga stori maana haiingii akilini mtu from no where hawajui ,aanze kuwatungia uongo.

Nashangaa hapa naambiwa ni yeye mwenye 🤣
Siamini.
Babu wanaomzungumzia hapa ni nani?

Naomba nitajie hata kwa code jamani😂
 
Tena wewe ndo umechangia selfika kufa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila selfika ni zaidi ya series mule kulikua na visa vingi, kwanza mimi na wewe tyr tunapata episodes km 100 hivi bado Antonnia na miongozo na wake wenza wake afu babu ndio KUBWA LA MAADUI anakuja kupigwa na Rabbitus yule wa demu wa sate sauzand [emoji23][emoji23][emoji23]
Akija coca na Mjep na wale wake wenza wenzie wanawake toleo jipya awwww hatareeee!! Bado wengine wengine

Nyie tutapiga pesa kweli mjue, hizi pesa zinapotea [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nacheka kama mazuri vileee khakhakhaaaa [emoji1787][emoji1787]!
Na vocha za aftatu na kutoka na babuu nyieeee![emoji23][emoji23][emoji23]
Jf usiamini kila kinachoandikwa humu ! Tena vocha niliomba kwa mwanamke mwenzangu sijui hizo habari alizipata wapi hahaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom