Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hatari sana😂😂😂😂😂Watu kwa sifa utawaweza??? Kama alivokua anatamba kuwala wewe na mama pasta humu Nilivosikia nilichekajee nikasema maombi yalikua yanaenda na dawa hahaha Jf usiamini kila unalosikia kiukweli!
Vocha zilikua zinarushwa hadi za laki moja mbona!
Sisi tulikuwa tunamtafuta aliyetunga stori maana haiingii akilini mtu from no where hawajui ,aanze kuwatungia uongo.
Nashangaa hapa naambiwa ni yeye mwenye 🤣
Siamini.