Nope inawezekana kabisa mtu akakutungia story na hakufahamu kabisa. Kwani kaka ako ananijua mimi nje ya JF?
At first nilivyosikia hiyo story niliipotezea; as I thought labda tu watu wanaconnect dots based na matani ya jukwaani; although nilikwambia kwamba inawezekana akawa yeye kwa sababu excuse niliyompa ya kutokuonana naye; ndiyo exactly excuse alivyokuwa anaisemea yule informer wa hii story; kwamba informer anasema ameshindwa kuonana na mimi kwa sababu ya excuse "A". Mind you sijawahi kuwasiliana PM na huyo informer; hiyo excuse yeye aliijuaje? Na ukamtetea ndugu yako kwamba hawezi fanya hivyo hadi nika-ignore. Nikasema ila kweli; nisihukumu mtu bila kuwa na ushahidi wa kutosha.
2. Ile time amepost uzi sijui wanawake anaolala nao wanakufa; kama kawaida nikaleletewa pdf zangu kama na mimi ni mmoja wa victims wake; I never confronted mtu yeyote aliyesambaza hilo pdf; wapo na humu kwenye comments wanajijua na miungu yao. Bado na screenshots za wapambe sasa "mama Mchungaji kwisha habari yake; sijui burihani mama Mchungaji". Mtakufa nyinyi na vizazi vyenu kabla yangu IJN.
Hawa wote wasambazaji, hakuna ninayefahamiana naye personal; sasa sijui hizo story na wao waliambiwa au ndiyo kuconnect dots. I ignored it too
3. Siku hiyo tena brother big kapost kapicha ka mdada amevaa skirt ya marinda na skuna sijui akasema ni binti yake anashinda tu kanisani blah blah blah. Eeh kama kawaida shots zikanijia "jamani mnaona baba pasta mahaba yamemshinda kaamua kumpost mama Mchungaji, si alisema hawajuani huyu, si kaolewa huyu, si lelelelelee; mara "huyu ni mama Mchungaji tu hata akikataa". Teh hao wote hakuna anayenifahamu kati yao, hadi wawe na uhakika kwamba yule ni mimi kweli. Afu mbaya zaidi ni wababa na heshima zao; na hata hatufahamiani maskini; na bila zile shots ningekataa katukatu kwamba ni wao wananisambaza; Mungu anawaona. Ndiyo ikanibidi sasa, nikaombe ile picha, alhamdulillah nikaipata full yake sasa; nikaishia tu kusikitika. Baadhi ya wababa wa humu; aaaaaaaaaaaaaaaaah; punguzeni unywanywa jamani; hauwapendezi na heshima zenu jamani; tuachieni wanawake hizo mambo.
Sasa Leo Coca kusema alipata shots za brother big akisema amekutana na mimi na kunikula; ndiyo zikanishtua. kwamba does it mean source ya mambo yote haya ni huyuhuyu mtu ilhali siku zote tunamtafuta mchawi?
cocastic do the needful please.[emoji120][emoji120]