cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenye wapenzi humu JF kazi mnayoo.Unajua mnaweza kurahisisha tu eti yashapita.
Kumbuka watu wanaotema nyongo walikuwa kimya...
HS alikuwa kimya, na hizo vuguvugu zinazidi kuendelea...
Dada na heshima zake anazidi kuchafuliwa atakaaje kimya?
Mshawahi kuwaza wengine Wana mahusiano humu..
Mtu wako anakuja kuona fedheha hizi
Na mtu umekaa kimya tu
Nyie acheni kabisa[emoji23]