Tag umpendaye humu JamiiForums na umtakie usiku mwema

Tag umpendaye humu JamiiForums na umtakie usiku mwema

Aahahahahahaaa

Nachokupendea nikiwa na wewe sili wali mkavu [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Na nnavyopenda vilivyokarangizwa sasa [emoji12][emoji12][emoji39][emoji39][emoji39]

The Saturday is on, a location will lead to cheers [emoji1635] [emoji4].

[emoji8][emoji8][emoji8] kasinde
 
Saint Anne
Saint Anne
Saint Anne



Usiku mwema mwanamke ninayekukubali na kukuelewa, sijawahi kukuona sura ila unalugha nzuri kwa kila mmoja humu jukwaani na unamheshimu kila mtu kitu ambacho sijakiona kwa wanawake wengi humu Jamvini.
You are one in a million, nakukubali sana mtumishi wa Bwana na ninakupenda.
Usiku mwema kipenzi @Saint Anne . Sijawahi kukuona, huenda umeshawahiwa na mtu ila jua nakukubali sana
 
Hamna mademu wapya humu?...mbona nmerudi nakuta walewale tu
 
Wapo ila wananata kinomaa..utasema hawaendi toilet, acha tu tupambane na zilipendwa wetu
[emoji52]
IMG_20200422_132447.jpg
 
Back
Top Bottom