Tag umpendaye humu JamiiForums na umtakie usiku mwema

Usiku mwema Saint Anne , njozi njema ukisinzia..
Oh jamani[emoji7][emoji7][emoji7]
Sipati notifications kwa wakati,na siku nikipata notifications nyingi Basi Kuna zingine za mwanzo hazionekani kabisa.

Leo bahati tu napitia tu uzi huu na kukutana na comment hii [emoji8][emoji8]
Nimefurahi sana [emoji3526]
Nakupenda[emoji3590]

BUSH BIN LADEN
 
Oh jamani[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]
Akhsanteee Sana

Sipati notifications Jamani,hivi bila kupita kwenye huu Uzi nisingeona hizi jumbe.

Asante Sana
Nakupenda pia rafiki[emoji3590]
 
No worries, kikubwa umeona ujumbe.. Hope siku hiyo ulisinzia vizuri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…