Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Emu faini soulimeti...Ooh Amen and thank you my Salimeti, Mungu atulinde sote afu sijakuona mda mrefu ,how are you?
Nipo salama kabisa aisee...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emu faini soulimeti...Ooh Amen and thank you my Salimeti, Mungu atulinde sote afu sijakuona mda mrefu ,how are you?
Naona wivu. Me nataka unipende peke yangu.Usiku mwema wapendwa wote katika Bwana, pamoja na wewe mleta uzi, nawapenda😍
Hakuna cha peke yako siku hizi kamanda. We share [emoji16][emoji16][emoji16]Naona wivu. Me nataka unipende peke yangu.
Sawa nimeusambaza kwa wateja wangu na wanaotarajia kuwa wateja wangu.upendo wote wote tumejumuhisha uku mkuu..
Nice to hear that, usiku mwemaEmu faini soulimeti...
Nipo salama kabisa aisee...
Wee Mungu katuagiza upendo kwa watu wote, punguza wivu baba😀Naona wivu. Me nataka unipende peke yangu.
Mwambie huyo. Si ajabu sasa hivi yuko njwii [emoji16][emoji16][emoji16]Wee Mungu katuagiza upendo kwa watu wote, punguza wivu baba[emoji3]
Kumbe anatumia kilaji eeh😀😀 troublemaker njoo ujibu hapaMwambie huyo. Si ajabu sasa hivi yuko njwii [emoji16][emoji16][emoji16]
Wanasema mwanaume yeyote mchapa kazi, hupata kitulizo baada ya kazi. Aliyekwambia namkutaga pia.😀Kumbe anatumia kilaji eeh😀😀 troublemaker njoo ujibu hapa
Toa hiyo J.H. uweke SYB. Kasie Matata [emoji870][emoji870][emoji870]