Jozee mkunaji
JF-Expert Member
- Jun 11, 2017
- 459
- 611
- Thread starter
-
- #81
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shikamoo muhenga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amezingua hyu muhenga VP wewe ushakula tupipi twamviringo tunamistari tumetobolewa kati!!utoke kwenu ukaoe[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Marhabaa kubwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chezea wahenga!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shikamoo muhenga
Wahenga sio watu WA sport sportMarhabaa kubwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chezea wahenga!!!!
Hizi zinanihusu kabisa Muhenga mmUTAJUAJE KAMA WEWE NI MUHENGA?
1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja ukaacha nyumbani na kingine ukaenda nacho shule. Wewe ni muhenga.
2. Kama ulitumia kipande cha kandambili kama ufutio.
3. Kama ulikanyagia kisigino ulipotoka kuoga ili usichafuke kwa kuwa hauna kandambili....Wewe ni muhenga.
4. Kama kwenu mlianika betri za national ili ziongezeke chaji kwenu..... Wewe ni muhenga.
7. Kama uliweka chumvi kwenye uji mweupe ndio ukanywa....Wewe ni muhenga
13.Kama ulivalishwa nepi na sio papmpers.....Wewe ni muhenga
19.Kama ulivaa kandambili mikononi wakati mnacheza mpira wa makaratasi "one touch".....Wewe ni muhenga
20.Kama uliweka kioo chini ya dawati ili uwachungulie wasichana...Wewe ni muhenga
23.Kama uliwahi kutengeneza magari ya waya,mabox na makopo yalioisha KIMBO Wewe ni muhenga
24.Kama uliwahi kucheza ule mchezo wa kifimbo cheza Wewe ni muhenga
27.Kama uliwahi kuvaa ndala za SKY WAY ,NODIN,UMOJA na viatu vya bora Wewe ni muhenga
29.Kama uliwahi kuogea sabuni ya komoa,komesha,mshindi,ilula Wewe ni muhenga
30.Kama uliwahi kutumia TANBOND,KIMBO,,,,Wewe ni muhenga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hebu watag wahenga wenzio uliocheza nao
Tag wahenga wenzako waje hapaHizi zinanihusu kabisa Muhenga mm
Nawaona baadhi wapo hapaTag wahenga wenzako waje hapa
Vzur sana kama wapoNawaona baadhi wapo hapa
Umeniumbua Mhenga.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amezingua hyu muhenga VP wewe ushakula tupipi twamviringo tunamistari tumetobolewa kati!!utoke kwenu ukaoe[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hamna c unajua wahenga hatuzunguki mbuyu papo kwa papo!!Umeniumbua Mhenga.
Nimekula JoJo na peremende.
hahahahaha hapo kwenye soksi za pundamilia nmevaa sana enzi hzo..Wahenga tumekuja.
Kama umechezea tiara wewe ni mhenga.
Kama ulitoboa vikopo vya mafuta na kufunga Uzi ili kuongea kama simu. wewe ni mhenga
Kama ulimfunga kamba Komba mavi(mnambe) mguuni ili apae ukishikilia Ile kamba. Wewe ni Mhenga.
Kama ulitumia soksi za punda milia na mifuko ya spot. Wewe ni Mhenga.
Kama ulitumia kalamu ya Beifa, Bic, shangingi. Wewe ni Mhenga.
Kama ulipanda mabasi aina ya TATA. wewe ni Mhenga.
Kama ulibandika stika za wachezaji kwenye ukuta au daftari la shule. Wewe ni Mhenga.
Mkuu Ahsante kwa KUMBUKIZI. Shukrani MHENGA MwenzanguKama ulisoma gazeti la Mfanyakazi, Moto moto, Dar leo, Alasiri, na kumekucha basi wewe ni muhenga