Tag wahenga wenzako

Tag wahenga wenzako

Kama ulienda na mbolea za mavi ya ng'ombe,kuku,mbuzi huku daftari ndani ya mgongo na mkononi fimbo mbilikb
Fimbo mbili mkonon ww ni muhenga..
Kama ulikuta soda zinawekwa kwenye kreti za mbao wewe ni muhenga. lol
 
Faken Africa no take action. Fanta[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Sisemi nlichofanya lkn nimeamini kuwa mimi ni mhenga
Hiyo avatar yako ni uhenga tosha

341210.jpg
 
Mi munhenga pia....nilikuwa napelekwa shule na school bus
 
Wahenga tumekuja.

Kama umechezea tiara wewe ni mhenga.

Kama ulitoboa vikopo vya mafuta na kufunga Uzi ili kuongea kama simu. wewe ni mhenga

Kama ulimfunga kamba Komba mavi(mnambe) mguuni ili apae ukishikilia Ile kamba. Wewe ni Mhenga.

Kama ulitumia soksi za punda milia na mifuko ya spot. Wewe ni Mhenga.

Kama ulitumia kalamu ya Beifa, Bic, shangingi. Wewe ni Mhenga.

Kama ulipanda mabasi aina ya TATA. wewe ni Mhenga.

Kama ulibandika stika za wachezaji kwenye ukuta au daftari la shule. Wewe ni Mhenga.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo kwnye vistika mkuu vile vya kwnye bablish unabandika kama tatoo!!
 
Back
Top Bottom