Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
kama ulienda na fagio na kidumu shule, wewe ni muhenga,Kama ulipaka gorogombe vidoleni ww ni muhenga..
lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ulienda na fagio na kidumu shule, wewe ni muhenga,Kama ulipaka gorogombe vidoleni ww ni muhenga..
🙄🙄🙄🙄
Fimbo mbili mkonon ww ni muhenga..kama ulienda na fagio na kidumu shule, wewe ni muhenga,
lol
Kama ulikuta soda zinawekwa kwenye kreti za mbao wewe ni muhenga. lolKama ulienda na mbolea za mavi ya ng'ombe,kuku,mbuzi huku daftari ndani ya mgongo na mkononi fimbo mbilikb
Fimbo mbili mkonon ww ni muhenga..
Kama ulikuta soda zinawekwa kwenye kreti za mbao wewe ni muhenga. lol
kama ulienda kutazama cinema drive inn, wewe ni muhenga, lolKama ulikula pipi mbomboo,pipi katoto wewe ni muhenga..
Faken Africa no take actionKwani hiyo ndio togwa?
Hiyo avatar yako ni uhenga toshaSisemi nlichofanya lkn nimeamini kuwa mimi ni mhenga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jmn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo kwnye vistika mkuu vile vya kwnye bablish unabandika kama tatoo!!Wahenga tumekuja.
Kama umechezea tiara wewe ni mhenga.
Kama ulitoboa vikopo vya mafuta na kufunga Uzi ili kuongea kama simu. wewe ni mhenga
Kama ulimfunga kamba Komba mavi(mnambe) mguuni ili apae ukishikilia Ile kamba. Wewe ni Mhenga.
Kama ulitumia soksi za punda milia na mifuko ya spot. Wewe ni Mhenga.
Kama ulitumia kalamu ya Beifa, Bic, shangingi. Wewe ni Mhenga.
Kama ulipanda mabasi aina ya TATA. wewe ni Mhenga.
Kama ulibandika stika za wachezaji kwenye ukuta au daftari la shule. Wewe ni Mhenga.
Kumbe Waheñga tupo wengi mkuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo kwnye vistika mkuu vile vya kwnye bablish unabandika kama tatoo!!
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] umeambiwa tag hpa CIO hko cjui PM nenda uwasalimie!/Kumbe Waheñga tupo wengi mkuu.
Ngoja tuje Pm huko tutimize ule unabii wa Waarabu wa pemba hujuana Kwa vilemba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Taratibu muhenga[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] umeambiwa tag hpa CIO hko cjui PM nenda uwasalimie!/
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amezingua hyu muhenga VP wewe ushakula tupipi twamviringo tunamistari tumetobolewa kati!!utoke kwenu ukaoe[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Taratibu muhenga