Tag yeyote unayemuona yuko Online.

Tag yeyote unayemuona yuko Online.

Swala siyo kuolewa swala ni kiuno chake utaweza kukimiliki?
Sintamiliki kiuno chake, bali hisia zake. hapo alipo ananichabo kwa mbaaali huku akisuuzika na mtima wake [emoji12][emoji12]
 
Akha.
Mie napenda nisuguliwe mpaka itoke harufu ya nyama iliyoungua.
Asa wa mkoani na lunch hii...sidhani
Njoo kwangu mama mi niko huku mkoani tena huo mkoa wanaokulaga ugari wa mtama na mahindi mixer nyama choma .

Dom city..
 
Bila kujari muda tag member yeyote unayemuina yuko Online kwa sasa.


Usisahau kumpa kaujumbe kake mubashara.
Misaidie kuwatag hawa.
20180918_202141.png
 
Back
Top Bottom