Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Bhana weee.Anakuzoom tu
sijui anakula lunch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bhana weee.Anakuzoom tu
Sintamiliki kiuno chake, bali hisia zake. hapo alipo ananichabo kwa mbaaali huku akisuuzika na mtima wake [emoji12][emoji12]Swala siyo kuolewa swala ni kiuno chake utaweza kukimiliki?
Ndo mana tunawafataga wanaume wa mkoaniLunch ya chipsi mayai
Akha.Aaah aaah ile test ya mayai basi anaona bonge la msosi .
HahhahahahhhahNjoo kwangu mama mi niko huku mkoani tena huo mkoa wanaokulaga ugari wa mtama na mahindi mixer nyama choma .
Dom city..
nilitegemea kuona unauliza na sisi tusio online tuna tag wapi 😂😂😂
Misaidie kuwatag hawa.Bila kujari muda tag member yeyote unayemuina yuko Online kwa sasa.
Usisahau kumpa kaujumbe kake mubashara.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]nilitegemea kuona unauliza na sisi tusio online tuna tag wapi [emoji23][emoji23][emoji23]