Tahadhali: Kwa wanaotuma maombi ya kusoma SUA

Hot bird

Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
82
Reaction score
169
Huu ni ujumbe mahsusi kwa form six na diploma wanaotegemea kutuma maombi chuo cha SUA.

Natoa rai tu,kama unataka kusoma SUA basi omba kozi zote upendazo ila achana na kozi hizi hapa chini.

1. Bachelor of laboratory Sciences (BLS).

2. Bachelor of education zenye physics.

Hiyo BLS ni kozi ya kisiasa mtaala wake haueleweki unakuandaa kuwa nani na waalimu wa kufundisha hiyo kozi ni wa mbinde kuwepo sio hivyo tu hata ajira zake kupata ni mtiti sana.

Hizo education zenye physics ni kwamba hakuna lecture hata mmoja wa physIcs pale sua, ataayeenda kusoma hizi atapata taabu sana,lecturer utakaoletewa ni part time tu na hata maabara ya physics haipo wanafanyia chuo cha waislamu practical zao.

Ukitaka kusoma sua kwa raha soma VET,Animal sciences, ESM n.k. ila hizo nilizosema hapo utakuja kulia baadae.

Nimewaambia,mtakuja kunishukuru baadae.
 
Shukrani kwa Muongozo
 
Mimi nimesoma SUA,kuhusu BLS ni kweli japo nasikia kulikuwa na mpango wa kuitambua kozi hiyo lkn sijui wamefikia wapi,kuhusu hiyo nyingine sijui.
 
Hyo BLS ndyo ile bachelor of laboratoy science and biotechnology au n ipi ?

Hyo koz n nzur kwa wale waliotoka diploma ya animal science au veterinary laboratory technology itawasidia kazn kupanda vyeo au kwa waliojiriwa kupitia diploma za animal science au vet laboratory
 
Huu ni ujumbe mahsusi kwa form six na diploma wanaotegemea kutuma maombi chuo cha SUA.

Natoa rai tu,kama unataka kusoma SUA basi omba kozi zote upendazo ila achana na kozi hizi hapa chini.

1. Bachelor of laboratory Sciences (BLS).

2. Bachelor of education zenye physics.

Hiyo BLS ni kozi ya kisiasa mtaala wake haueleweki unakuandaa kuwa nani na waalimu wa kufundisha hiyo kozi ni wa mbinde kuwepo sio hivyo tu hata ajira zake kupata ni mtiti sana.

Hizo education zenye physics ni kwamba hakuna lecture hata mmoja wa physIcs pale sua, ataayeenda kusoma hizi atapata taabu sana,lecturer utakaoletewa ni part time tu na hata maabara ya physics haipo wanafanyia chuo cha waislamu practical zao.

Ukitaka kusoma sua kwa raha soma VET,Animal sciences, ESM n.k. ila hizo nilizosema hapo utakuja kulia baadae.

Nimewaambia,mtakuja kunishukuru baadae.
Acha uongo bana,Physics practical ni lini ilienda kufanyika MUM??.
Tupe title ya hiyo practical iliyoenda kufanyika MUM.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba data zimepikwa?.Nilichelewa kuupata huu uzi,mimi nipo hapo SUA hakuna siku ambayo walimu wa Physics walienda kufanya practical Muslim university.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Haya tuambie,kwa sasa mna waalimu wanaofundisha physics?

Haya tuambie,yule mama alipompa matokeo ya bure bila kufanya UE kwenye kozi ya chemistsry of natural productus yule mwanafunzi mwenzenu ulifanya chochote?

Haya tuambie,sasa hivi mnasoma atmospheric physics,inawasaidia nini tofauti na kujaza credit hours,na inafundishwa na idara gani?

Maliza uje tulinde majengo huku,kwa kuwa hata kwa kiwango chenu hamna uelewa wowote kwa hayo mnayosoma,hata graduate wa st. Joseph wanawazidi mbali.
 
HII TAHADHALI ITABAKI HIVI HATA MWAKA HUU,WALE WAALIMU WENU WAWILI WALIOKUWEPO NAO WOTE WAMEHAMA.

KWA SASA HAKUNA HATA TUTORIAL AWAOKOLEE JAHAZI LISIZAME,UKWELI NI KWAMBA MNALIWA ADA TU HAPO,HAKUNA ELIMU MNAYOPATA.
 
Mkuu mm sjasoma SUA na sjui hayo usemayo

Lakini Physics n majanga vyuo vyote Tz ata sisi tuliisoma kwa kupiga msuli mrefu na kupiga tutorial.za wahindi YouTube hadi tukapata degree zetu and kuhusu practical.za physics kwa upande wa chuo kikuu chache tulifanya physically nyingi tulikuwa tunafanyia kwenye computer Kuna program nikuinstall then unakuwa unarun simulation unakusanya data unaandaa report hvyo.sizan kama.malecture wa SUA n wazembe kiasi hicho hadi wawapeleke wanafunzi kufanya practical huko MUM japo Practical za physics za chuo kikuu n kisanga sana hadi kupata data sio.mchezo

Also kuhusu jamaa kumaliza chuo na kukaa mtaani havihusiani na hoja yako but kwa uelewa wangu huwezi graduate education ya physics then ukose ajira labda uwe kilaza, Mm binafsi nlivomaliza tu hyo physics mwezi wa saba then wa nane nkala shavu private school and nliomaliza nao karbia wote wa physics wameshaajiriwa serikalini kwa waliotaka kwenda serikalin mapema

Note: Physics n mtiti sio mchezo mchezo mkuu, haina cha lecture wala nn n kutoboa na ma YouTube tu atleast ukipata lecture mhindi walikuwa wanatembeza madude hadi sisi tunapenda changamoto yao wahindi n lugha wengi kingereza kinawasumbua and wahindi nakumbuka hawakuaga na habari za Assigment paper zao ilikuwa n test 1 marks 20 abd test 2 marks 20 ukizingua anakuwekea course work kama ilivo hawana sjui mama nibebe[emoji2] ila ukikutana na lecture mbongo wengi physics walikuwa wanateseka sana kufundisha ata mapindi yao huelewi unaishia kwenda YouTube tu atleast uweze piga paper

NB: kwa mwanafunzi anaenda kusoma education especially aliesoma PCB, PCM, PGM na mshauri katika kusoma kwake degree ya ualimu basi ajitahidi kukomaa na physics pia hatokuja kujuta sababu ajira za physics haziji kujaaa walimu wa physics n kipaumbele sana kuliko ata wa mathematics usishangae physics ukamaliza chuo mwaka unaofuata ukaajiriwa na serikali.

Nmeshaur kidogo kwenye physics sababu ndo nlikobobea[emoji1666]
 
Kwa sasa hapa SUA hakuna hata mwalimu mmoja wa kuwapa wanafunzi hata notes za physics,niambie watasomeje?

Halafu hii ya kuacha kufanya practical inaua elimu,fanyeni kwa vitendo.

Mimi nitaendelea kuisemea hapa ubora wa elimu ya SUA hadi wabadilike,kuna moja nakamilisha ushahidi tu wataikuta wizarani hawa.

Elimu ya nchi haiwezi kuharibiwa tunaiona hivi.
 
Duh kama hawana mwalimu ata mmoja wameanzishaje physics aisee atleast wangekuwa nao then upungufu ndo wakawa wanatoa part time

Kuhusu practical sisi tulifanya kwa vitendo na sana sana tulifanya kwenye computer and kulikuwa na lab technician kabisa na wahindi walijitahdi kutusimamia but sjui kwa SUA kama unayo Sema n kweli basi wabadirike na wizara ya elimu kupitia TCU watupie jicho course husika ulizo taja
 
SUA hawana hata mwalimu mmoja wa physics,semester ina wiki 15 lakini kuna kozi wameanza kusoma wiki ya 8,jiulize watakava lini iishe kama sio kufundisha vitu shallow tu.

Kuhusu pratical,hapo ndio hakuna kitu kabisa,hawasomi kitu,na hawafanyi kitu,wanafanya tu ili kuonekana wamesoma na kukava ila ukweli wanaujua hakuna kitu,kuna mtu hapo kuu amesema yuko SUA namsubiri aje nimuhoji maswali.

Karibuni Leo niwadake kwenye giza niwanyooshe,wazee wa gizani.
 
HII TAHADHALI ITABAKI HIVI HATA MWAKA HUU,WALE WAALIMU WENU WAWILI WALIOKUWEPO NAO WOTE WAMEHAMA.

KWA SASA HAKUNA HATA TUTORIAL AWAOKOLEE JAHAZI LISIZAME,UKWELI NI KWAMBA MNALIWA ADA TU HAPO,HAKUNA ELIMU MNAYOPATA.
Mbona. huhawambia sua ina campus mbili, hao walimu wenu wako mazimbu sio MAIN
 
SUA hawana hata mwalimu mmoja wa physics,semester ina wiki 15 lakini kuna kozi wameanza kusoma wiki ya 8,jiulize watakava lini iishe kama sio kufundisha vitu shallow tu.

Kuhusu pratical,hapo ndio hakuna kitu kabisa,hawasomi kitu,na hawafanyi kitu,wanafanya tu ili kuonekana wamesoma na kukava ila ukweli wanaujua hakuna kitu,kuna mtu hapo kuu amesema yuko SUA namsubiri aje nimuhoji maswali.

Karibuni Leo niwadake kwenye giza niwanyooshe,wazee wa gizani.
course ghani hawafanyi practical Sua main?
 
Back
Top Bottom