Hot bird
Member
- Jan 18, 2021
- 82
- 169
Huu ni ujumbe mahsusi kwa form six na diploma wanaotegemea kutuma maombi chuo cha SUA.
Natoa rai tu,kama unataka kusoma SUA basi omba kozi zote upendazo ila achana na kozi hizi hapa chini.
1. Bachelor of laboratory Sciences (BLS).
2. Bachelor of education zenye physics.
Hiyo BLS ni kozi ya kisiasa mtaala wake haueleweki unakuandaa kuwa nani na waalimu wa kufundisha hiyo kozi ni wa mbinde kuwepo sio hivyo tu hata ajira zake kupata ni mtiti sana.
Hizo education zenye physics ni kwamba hakuna lecture hata mmoja wa physIcs pale sua, ataayeenda kusoma hizi atapata taabu sana,lecturer utakaoletewa ni part time tu na hata maabara ya physics haipo wanafanyia chuo cha waislamu practical zao.
Ukitaka kusoma sua kwa raha soma VET,Animal sciences, ESM n.k. ila hizo nilizosema hapo utakuja kulia baadae.
Nimewaambia,mtakuja kunishukuru baadae.