Unajaribu kusema nini?Ndio maana hata kama naenda Moro nazunguka Bagamoyo! Hio njia haina guarantee!
Chadema walituchelewesha Sana kupata maendeleo.Unajaribu kusema nini?
umenipa bonge la idea bora kuzunguka bagamoyo huku mlandizi michosho sana yani hata safari ya kawaida gari inaanza kwenda kufunguka kuanzia chalinze kwenda kuleNdio maana hata kama naenda Moro nazunguka Bagamoyo! Hio njia haina guarantee!
Dar,Bagamoyo,msata,msoga to Moro ni rahisi haina mafoleni ya ajabuajabuUnajaribu kusema nini?