Pre GE2025 Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Pre GE2025 Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi 😂😂👇👇

1722442022469.png

Jamaa anatanguliza ego za Kinyakyusa kwenye maamuzi yanayohitji utulivu wa akili Kwa maslahi ya wengi ikiwemo wale asiowakubali 😂😂😂

Pia soma Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS
 
Na wewe unaamini una uwezo wa kuwashauri mawakili!! Maajabu makubwa!!
Nakushauri Hadi wewe hapo,kuwa wakili hakukupi akili Wala busara ni kukariri tuu vifungu so msijipe umuhimu ambao hamna.
 
Jibu hoja badala ya matusi
mpumbavu (wingi wapumbavu)

  1. mtu anayeshindwa kuelewa anachoelezwa

Wewe unaacha kusikiliza hoja za mwabukusi unaanza kusema anafoka wewe unatakaje abembeleze upumbavu.

Wewe unaona nchi inaenda Sawa au haya maisha kama taifa kwako ni mafanikio.

Unapenda kutukuza watu?

Sheria za nchi zina simamiwa ipasavyo?

Etc
 
Upumbavu ni tafsiri ya nani?
 
Back
Top Bottom