Pre GE2025 Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
We are duty bound to make TLS a success story. Let's level up legal practice✅

VOTE FOR SWEETBERT NKUBA✅

VOTE FOR SWEETBERT NKUBA

VOTE FOR SWEETBERT NKUBA
20240729_092055.jpg
 
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu👇👇

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1817480317936013473?t=ckoQk19UwTtdh-WlHQJCbQ&s=19

Hata kama hatashinda tayari atakuwa amewaamsha usingizini ..... Ila wasipomchagua nitaamini yale maneno ya Mzee JOMO Kenyeta. Kama Wanasheria wanashindwa kuikabili serikali ni nani atakayeweza!!?
 
Hakuna na hana jipya wameshapita hapo kina Lisu,Shangazi F na wengine so hakuna ishu spesho saaana.

Swala la msingi ni kwamba Kwa hulka za ubishi ,kufoka kutumia Nguvu na siasa uchwara plus uanaharakati wa Mwabukusi sio Afya Kwa hao Mawakili ila wao wakiona inafaa wamchague.
 
Tanzania ina vijana wengi wenye uelewa wa mambo kwa upana zaidi. Wana uwezo mkubwa na hii nafasi ya uraisi wa TLS inahitaji kijana mwenye kuleta mabadiliko. Huyu mzee wamuweke pembeni bado sana kwa hii nafasi. Tutegemee jazba
 
Back
Top Bottom