ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
Hana utulivu wa akili ni mtu wa kuhemka na kupayukaTanzania ina vijana wengi wenye uelewa wa mambo kwa upana zaidi. Wana uwezo mkubwa na hii nafasi ya uraisi wa TLS inahitaji kijana mwenye kuleta mabadiliko. Huyu mzee wamuweke pembeni bado sana kwa hii nafasi. Tutegemee jazba