Pre GE2025 Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi hiki chama kina mchango wowote kwa taifa ? Hasa recently?
😆😆😆😆😆😆 Hakina tofauti na CWT na in fact ni chama Cha kujitutumua sawa tuu na Vyama vinginevyo but kazi Yao kuu ni kushauri miswaada ya serikali na sheria mbalimbali.
 
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasimi 😂😂👇👇

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1817480317936013473?t=ckoQk19UwTtdh-WlHQJCbQ&s=19

SISI CHAWA TUNASEMA SAMIA NI MWENYEZI MUNGU KABISA ..TENA ANA AKILI KULIKO KIUMBE CHOCHOTE ...HIVYO TUANGUKE NA KUMSUJUDIA SAMIA
 
Nyie ndio Huwa mnajiina mnazo na msivyojiamini mkajiongezea na mbele eti msomi 😆😆😆😆

Sijawahi ona popote Duniani Mwanasheria akapewa tuzo ya Nobel Kwa sababu ya kuwa mwanataaluma ya sheria.
Nobel prise zinatolewa kwa-- physics, chemistry, physiology or medicin na eliterature and peace,
 
Umeacha Economics.Jiulize Kwa nini hawatoi ya Law? Jibu ni kwamba ni fani ambayo Haina maadili Huwa Wanatetewa wauaji,wezi,majambazi na mafisadi 😆😆
 
Viongozi wakongwe ccm ili wajilinde na wadumu kwenye madaraka wamefundisha taifa hususan uvccm ujinga ufuatao:
-Kuchelewa kujibu kero au hoja ni utulivu na hutoa mifano ya walioonewa kisha wakapata vyeo badae .
UKWELI
Unapaswa jibu hoja kwa haraka na kwa muda ,kama huna majibu wambie wananchi hadi lini utaweza jibu
-TLS inapaswa kutii serikali na kutojiingiza kwenye siasa
UKWELI
TLS ni chombo cha kusimamia sheria na haki inapaswa
1.kushauri serikali mahakama na bungejuu ya kila sheria,sio kuwa marafiki bali kuwa wabia
2.kushitaki serikali ,mtu au taasisi yeyote inayovunja sheria hususani katiba
3.Kuipa ukweli jamii juu ya kila sheria na kuichambua ili wananchi wajue ukwel
Kwa kifupi tls ni jeshi la nchi la kisheria

K
4.ku support juhudi za wananchi iwapo uonevu huo ni wa kisheria mfano ishu ya loliondo,ngorongoro etc
 
Kwa hiyo Vyama vyote vya kilaia na kitaaluma vinatakiwa kujiingiza kwenye siasa?
 
Sio kujiingiza bali kushiriki,tls haipaswi kusema nani anafaa kuwa rais ila ina paswa kusimamia sheria kuzingatiwa mtu kuwa raisi,mfano wakiengua jina la mgombea wa cuf ,ni wajibu wa tls kuangalia sheria na haki imezingatia ,kisha inamshauri mgombea aende mahakamani na kumpa wanasheria nguli,
Mfano wananchi wanaandamana kupinga bei ya mafuta ,tls haipaswi kuongelea bei ya mafuta ila wakiwa wanaandamana wakapigwa mabomu tls inapaswa imswage polisi na igp mahakaman
Umenielewa kaka?
 
Mbona ccm ikitukanwa na Viongozi wake Huwa hatuwaoni TLS Wala Wale wa kutetea Haki za binadamu? Yaani hivyo Vyama vimejigeuza ni Mali ya Upinzani au?
 
Back
Top Bottom