ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ndio Kwa sababu makada wa ccm wamekuwa wakiongoza hiyo taasisi sio mara Moja.Bora wampe yule kada wa CCM ?
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu
How? Mbona Lisu na wengine wamewahi kuwa hapo Je walipeleka mbele au nyuma?kule hakutakiwi watu watu wenye mawazo ya kulipeleka taifa mbele
sisiem
Nakushauri Hadi wewe hapo,kuwa wakili hakukupi akili Wala busara ni kukariri tuu vifungu so msijipe umuhimu ambao hamna.Na wewe unaamini una uwezo wa kuwashauri mawakili!! Maajabu makubwa!!
Jibu hoja badala ya matusiUmeandika upumbavu
Natoa tahadhari tuu mengine ntafanya wenyeweChoiceVariable ume dislike nilipo kuambia umeandika upumbavu unataka kusifiwa kama akili za watawala wako ndio maana unaona mwabukusi hafaiView attachment 3055860
mpumbavu (wingi wapumbavu)Jibu hoja badala ya matusi
Upumbavu ni tafsiri ya nani?mpumbavu (wingi wapumbavu)
- mtu anayeshindwa kuelewa anachoelezwa
Wewe unaacha kusikiliza hoja za mwabukusi unaanza kusema anafoka wewe unatakaje abembeleze upumbavu.
Wewe unaona nchi inaenda Sawa au haya maisha kama taifa kwako ni mafanikio.
Unapenda kutukuza watu?
Sheria za nchi zina simamiwa ipasavyo?
Etc
Acha kudharau taaluma za watu huna unalo lijua kaa pembeniNakushauri Hadi wewe hapo,kuwa wakili hakukupi akili Wala busara ni kukariri tuu vifungu so msijipe umuhimu ambao hamna.
Nyie ndio Huwa mnajiina mnazo na msivyojiamini mkajiongezea na mbele eti msomi ππππAcha kudharau taaluma za watu huna unalo lijua kaa pembeni
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovuππ
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1817480317936013473?t=ckoQk19UwTtdh-WlHQJCbQ&s=19
TLS ni Tanganyika Law Society.... Wewe Mzanzibari tupisheKwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovuππ
View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1817480317936013473?t=ckoQk19UwTtdh-WlHQJCbQ&s=19