Pre GE2025 Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
We are duty bound to make TLS a success story. Let's level up legal practiceโœ…

VOTE FOR SWEETBERT NKUBAโœ…

VOTE FOR SWEETBERT NKUBA

VOTE FOR SWEETBERT NKUBA
 
Wewe kariri data za Uchumi mdogo wa Kati ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Mambo ya akina Pascal Mayalla waachie wenyewe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
Pascal atakubali kupelekeshwa na Mwabukusi? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ndio Kwa sababu makada wa ccm wamekuwa wakiongoza hiyo taasisi sio mara Moja.

Sasa huyo wa kutukana Kila mtu ndio watapata faida gani?
Makada hawa wanao toa matamshi ya hovyo, track record mbovu?
Seriously?
 

Hata kama hatashinda tayari atakuwa amewaamsha usingizini ..... Ila wasipomchagua nitaamini yale maneno ya Mzee JOMO Kenyeta. Kama Wanasheria wanashindwa kuikabili serikali ni nani atakayeweza!!?
 
Hata kama hatashinda tayari atakuwa amewaamsha usingizini ..... Ila wasipomchagua nitaamini yale maneno ya Mzee JOMO Kenyeta. Kama Wanasheria wanashindwa kuikabili serikali ni nani atakayeweza!!?
Hakuna na hana jipya wameshapita hapo kina Lisu,Shangazi F na wengine so hakuna ishu spesho saaana.

Swala la msingi ni kwamba Kwa hulka za ubishi ,kufoka kutumia Nguvu na siasa uchwara plus uanaharakati wa Mwabukusi sio Afya Kwa hao Mawakili ila wao wakiona inafaa wamchague.
 
Tanzania ina vijana wengi wenye uelewa wa mambo kwa upana zaidi. Wana uwezo mkubwa na hii nafasi ya uraisi wa TLS inahitaji kijana mwenye kuleta mabadiliko. Huyu mzee wamuweke pembeni bado sana kwa hii nafasi. Tutegemee jazba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ