Pre GE2025 Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
dpw hadi leo wamefanya nini?hatuzungumzii kuwa hawawezi tunasema wamepewa kwa mazingira ya rushwa ya hadharani ,peleka wasanii kula maisha dubai,msukuma kahongwa gari,kupigwa mawaraka kama yote ,kuhonga watu hadharani etc
 
dpw hadi leo wamefanya nini?hatuzungumzii kuwa hawawezi tunasema wamepewa kwa mazingira ya rushwa ya hadharani ,peleka wasanii kula maisha dubai,msukuma kahongwa gari,kupigwa mawaraka kama yote ,kuhonga watu hadharani etc
Nenda bandarini katazame wepesi wa kuingiza na kutoa mzigo ulivyo kwa sasa.

Tazama ongezeko la gawio la TPA kwa hazina halafu linganisha na kile walichokuwa wanakipeleka hazina miaka miwili iliyopita.
 
Ni YEYE
 
Wanasheria wa mwendo kasi ni matatizo matupu. Halafu bila aibu wanajitambulisha kama 'mwanasheria msomi'. Usomi upi huo wakati wanashindwa hata kugundua kuwa huyu Mwabukusi hana lolote!.
 
Tatizo wahafidhina wamezoea kusifiwa hata akiharibu, hivyo wakiambiwa wameharibu lazima tu waone wamefokewa hata approach ikiwa ya upole vp! Go go go mwabukusiπŸ‘‹
 
Mawakili wataenda naye hivyo hivyo mbona alikuwepo kiongozi mmoja mkubwa kuliko kiongozi yeyote alikuwa mbabe na alikuwa na ego za kisukuma alikuwa anamfokea kila mtu uwe na elimu au fala na alinyoosha watu na nchi hadi sio vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…