Pre GE2025 Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Pre GE2025 Tahadhari: Endapo Mwabukusi atakuwa Rais wa TLS ni wazi Mawakili watakuwa wamekubali kuburuzwa kiharakati

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpuuzi huyu Mwabukusi ana akili zile zile za chuki zetu za kiafrika, kudhani kuwa matatizo yetu chanzo chake ni watu tunaoweza kuwanyooshea vidole.

China wapo bilioni 1.4 wao ndio walitakiwa wawe wa kwanza kunyooshea vidole wachache wanaodhani wanawasaliti lakini ni kinyume chake kwa sababu elimu wanayoitoa ni ile ya udadisi tangu wakiwa watoto.

Wanamuandaa kila mchina aweze kuishi mahali popote pale mbali na China. Sisi watanzania kwa kupewa elimu za kuja kuajiriwa baadae tunajikuta tunahangaika pale ajira rasmi zinapokuwa chache, matatizo yetu mengi huanzia hapo.

Sasa huyu mpuuzi mwanasheria kaingia katika mtego ule ule wa kunyooshea kidole tabaka la viongozi, hakuna duniani nchi isiyo na tabaka la wachache wenye kuongoza hiyo ndio hulka ya kibinadamu imejaa ubinafsi mwingi.

Hao DP wapo katika mataifa mengi tu na ni kwa sababu ya uwezo wao wa kazi ndio maana wanakubaliwa, anataka watoke hapo TPA anayo 'know how' yenye kuweza kutupatia mapato na ufanisi wa kazi kulinganisha na hao DPW?.
dpw hadi leo wamefanya nini?hatuzungumzii kuwa hawawezi tunasema wamepewa kwa mazingira ya rushwa ya hadharani ,peleka wasanii kula maisha dubai,msukuma kahongwa gari,kupigwa mawaraka kama yote ,kuhonga watu hadharani etc
 
Nenda bandarini katazame wepesi wa kuingiza na kutoa mzigo ulivyo kwa sasa.

Tazama ongezeko la gawio la TPA kwa hazina halafu linganisha na kile walichokuwa wanakipeleka hazina miaka miwili iliyopita.
 
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi 😂😂👇👇

Jamaa anatanguliza ego za Kinyakyusa kwenye maamuzi yanayohitji utulivu wa akili Kwa maslahi ya wengi ikiwemo wale asiowakubali 😂😂😂

Pia soma Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS
Ni YEYE
 
Wanasheria wa mwendo kasi ni matatizo matupu. Halafu bila aibu wanajitambulisha kama 'mwanasheria msomi'. Usomi upi huo wakati wanashindwa hata kugundua kuwa huyu Mwabukusi hana lolote!.
 
Tatizo wahafidhina wamezoea kusifiwa hata akiharibu, hivyo wakiambiwa wameharibu lazima tu waone wamefokewa hata approach ikiwa ya upole vp! Go go go mwabukusi👋
 
Kwa tabia ya yule Jamaa kufokea Kila mtu na kuona wote hawana akili isipokuwa yeye basi Mawakili wajiandae Kuburuzwa na kupelekeshwa na Mwabukusi kama gari bovu,mtu ana mihemko ,hana utulivu wa akili Wala approach nzuri ya kutatua Changamoto eti ndio awe Rais wa watu Wanaojiita wasomi [emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Jamaa anatanguliza ego za Kinyakyusa kwenye maamuzi yanayohitji utulivu wa akili Kwa maslahi ya wengi ikiwemo wale asiowakubali [emoji23][emoji23][emoji23]

Pia soma Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS
Mawakili wataenda naye hivyo hivyo mbona alikuwepo kiongozi mmoja mkubwa kuliko kiongozi yeyote alikuwa mbabe na alikuwa na ego za kisukuma alikuwa anamfokea kila mtu uwe na elimu au fala na alinyoosha watu na nchi hadi sio vizuri
 
Back
Top Bottom