Tahadhari epukeni gesti za bei poa uswazi

Tahadhari epukeni gesti za bei poa uswazi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kuna vibinti na mashangingi yaliyoshindikana yanadhalilisha wanaume. Vigesti vya bei poa vina mambo ya ajabu. Vimetegeshewa darubini zisizoonekana kwenye mwanga hafifu wa taa na hata smart phone kwa sasa.

Kuna wapenda chabo hulipia hiyo huduma Kuona ngono live. Wanaume wanadhalilika na kudhalilishwa huko bila kujijua. Mitindo ya tanganyika jeki cha kati.

Mchuzi juu na mingineyo ni dhalili kwa wanaume bila kujijua wanaonwa live. Vile vibinti na ile michangu usione unaifanya matusi kwa bei poa ikaridhika, kuna malipo mengine yanawasubiri. Kama huwezi kabisa kujizuia kwenda huko hakikisha hukubali masharti yao ya ziada na tafadhali zima taa ujilie vyako gizani! Utaokoka na mengi. LAKINI kabla ya kuzima taa hakikisha unamkagua vizuri afya yake akiwa mtupu[emoji1].

3c6102cddced6cc7a178ed11be4255a7.jpg
 
Mshana jr sio haba hadi na wa bei poa we unao-poa

Au ndo kuisoma namba

Kuna siku nilikwenda na mtoto G house ya buku mbili nilitoka na mifugo(kunguni). sasa asubuhi nipo kanisani mtu akanigusa anamuona mfugo unaingia bandani (makalioni). niliacha kwenda mwaka mzima kwa aibu ya hawa jamaa.
 
mshana jr sio haba hadi na wa bei poa we unao-poa

au ndo kuisoma namba

Kuna siku nilikwenda na mtoto G house ya buku mbili nilitoka na mifugo(kunguni). sasa asubuhi nipo kanisani mtu akanigusa anamuona mfugo unaingia bandani (makalioni). niliacha kwenda mwaka mzima kwa aibu ya hawa jamaa.
[emoji38][emoji38][emoji38] Aisee jombaa una mpango wa kunipa hela kwenda kutibiwa ? Mbavu zinauma
 
Geust House za bei chee 3,000 mpaka 5,000
1. chabo
2. kunguni
3. kuchafu
4. luku tatizo
5. maji tatizo
6. watu kufanya kijiwe hasa kile chumba cha muhudumu
7. vitanda telemka tukaze(mishindo mitatu chaga zote chini)
 
Kuna vibinti na mashangingi yaliyoshindikana yanadhalilisha wanaume
Vigesti vya bei poa vina mambo ya ajabu. Vimetegeshewa darubini zisizoonekana kwenye mwanga hafifu wa taa na hata smart phone kwa sasa
Kuna wapenda chabo hulipia hiyo huduma Kuona ngono live
Wanaume wanadhalilika na kudhalilishwa huko bila kujijua
Mitindo ya tanganyika jeki cha kati
3c6102cddced6cc7a178ed11be4255a7.jpg
mchuzi juu na mingineyo ni dhalili kwa wanaume bila kujijua wanaonwa live
Vile vibinti na ile michangu usione unaifanya matusi kwa bei poa ikaridhika, kuna malipo mengine yanawasubiri
Kama huwezi kabisa kujizuia kwenda huko hakikisha hukubali masharti yao ya ziada na tafadhali zima taa ujilie vyako gizani! Utaokoka na mengi

hiko kineno tu ndio kimenichekesha
 
Back
Top Bottom