Tahadhari epukeni gesti za bei poa uswazi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bedbug alikua anaelekea kubaya mkuu angekutekenya kinomaa
 
Dah kuna gest niliendaga Manzese yani ile gesti aisee kwanza mlango hauna koromeo wala kitasa unafunga na waya , halafu switch ya taa ndo iyo iyo switch ya feni kwaiyo ukisema uzime taa ndani joto πŸ˜‚ ile siku nahisi kabisa nilipigwa chabo sana
 
Kuzima taa ni hatari zaidi kwani kama mwili wote umejaa UKURUTU na mabaka mabaka kama kenge hutaona lakini taa ikiwashwa UNAGHAIRI na kuwambia nyege zimeisha hutaki tena papuchi
🀣🀣🀣🀣
 
dah kuna gest niliendaga manzese yani ile gesti aisee kwanza mlango hauna koromeo wala kitasa unafunga na waya , halafu switch ya taa ndo iyo iyo switch ya feni kwaiyo ukisema uzime taa ndani joto [emoji23] ile siku nahisi kabisa nilipigwa chabo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: BAK
dah kuna gest niliendaga manzese yani ile gesti aisee kwanza mlango hauna koromeo wala kitasa unafunga na waya , halafu switch ya taa ndo iyo iyo switch ya feni kwaiyo ukisema uzime taa ndani joto [emoji23] ile siku nahisi kabisa nilipigwa chabo sana
Daah ulitisha mwamba hukuwa na Ela nini

Huko wanaenda waizi ,vibaka
 
dah kuna gest niliendaga manzese yani ile gesti aisee kwanza mlango hauna koromeo wala kitasa unafunga na waya , halafu switch ya taa ndo iyo iyo switch ya feni kwaiyo ukisema uzime taa ndani joto πŸ˜‚ ile siku nahisi kabisa nilipigwa chabo sana
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Wahuni sio watu
 
Kuna mwana kule Mwananyamala ndio alikuwa bingwa wa chabo yani hakuwa na mpinzani.. Alistaafu chabo baada ya siku moja bila kujua akajikuta anayempiga chabo ni mama yake mzazi na anapelekewa moto buza kwananihii
Ha ha ha ha ha ha ah ha ha ha lazimaa astaafu dadekiii hiyo bonge ya fimboooo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…