Tahadhari: Giza limeota macho halafu lina masikio

Kweli JF yetu imebanwa mbavu chagizo mbalimbali kwenye uteuzi wa wakuu wapya wa wilaya nyingi zimefutwa leo hii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa kazi tuu...hata kama kazi yenyewe inakufanya usijue ya mbeleni
kazi kazi tu hakuna kuwaza wala kufikiri ni mwendo wa kazi tu ukichoka unalala ukiamka kazi tu mpaka kazi iishe sijui itaisha lini hii kazi....!
 
kazi kazi tu hakuna kuwaza wala kufikiri ni mwendo wa kazi tu ukichoka unalala ukiamka kazi tu mpaka kazi iishe sijui itaisha lini hii kazi....!
Hizi slogans za kisiasa hizi..!
 
Du sasa naona simu zetu hazifai tena huko tunakokwenda kila mtu hatotumia tena social network Mambo yakizidi nahisi hata biashara za mitandao ya kijamii zitadoda.
 
Kma ukitumia vibaya kitu cgochote na akawepo wa kukusimamia kukuelekeza utumie vzur bado utaona unaonewa
 
Kma ukitumia vibaya kitu cgochote na akawepo wa kukusimamia kukuelekeza utumie vzur bado utaona unaonewa
Huyo anayesimamia anakuwa ni nani?
Anatumia vigezo gani kuamua hiki ni kibaya?
Siasa ni mchezo mchafu kitu cha kawaida kabisa kinaweza kuharamishwa kukidhi matakwa ya mtu au kikundi
 
Mshana achana na siasa... Waachie watu wenye maneno Mengi bila logic ww una fit kwingine kbs siasa ni mchezo wa kung'ong'a wananchi.
 
Pumba tu hueleweki upo upande gan kutaka maendeleo au kupinga maendeleo.... Mmetaka maendeleo hlf mnayaogopa... Kwan kuna faida gan mwanaume ukisifiwa kuongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…