Tahadhari: Giza limeota macho halafu lina masikio

Tahadhari: Giza limeota macho halafu lina masikio

Kweli JF yetu imebanwa mbavu chagizo mbalimbali kwenye uteuzi wa wakuu wapya wa wilaya nyingi zimefutwa leo hii
7afd9bc945e16d2e4d7495b3fa6899aa.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa kazi tuu...hata kama kazi yenyewe inakufanya usijue ya mbeleni
kazi kazi tu hakuna kuwaza wala kufikiri ni mwendo wa kazi tu ukichoka unalala ukiamka kazi tu mpaka kazi iishe sijui itaisha lini hii kazi....!
 
kazi kazi tu hakuna kuwaza wala kufikiri ni mwendo wa kazi tu ukichoka unalala ukiamka kazi tu mpaka kazi iishe sijui itaisha lini hii kazi....!
Hizi slogans za kisiasa hizi..!
c0608b5c3605c22bbe169083f23b81cd.jpg
1d2b3a001df3d32665680ec273082e0d.jpg
 
Du sasa naona simu zetu hazifai tena huko tunakokwenda kila mtu hatotumia tena social network Mambo yakizidi nahisi hata biashara za mitandao ya kijamii zitadoda.
 
Kma ukitumia vibaya kitu cgochote na akawepo wa kukusimamia kukuelekeza utumie vzur bado utaona unaonewa
 
Kma ukitumia vibaya kitu cgochote na akawepo wa kukusimamia kukuelekeza utumie vzur bado utaona unaonewa
Huyo anayesimamia anakuwa ni nani?
Anatumia vigezo gani kuamua hiki ni kibaya?
Siasa ni mchezo mchafu kitu cha kawaida kabisa kinaweza kuharamishwa kukidhi matakwa ya mtu au kikundi
 
Mshana achana na siasa... Waachie watu wenye maneno Mengi bila logic ww una fit kwingine kbs siasa ni mchezo wa kung'ong'a wananchi.
 
Inatisha Mkuu naona hata Burundi na Rwanda zitakuwa na ahueni siye tutachukua nambari ya juu kabisa kwa giza nene litakalotanda kila kona. Ukiguna tu umezingirwa, ukikohoa tu umezingirwa cha kusikitisha pamoja na hali hii ya kutisha ikizidi kushamiri nchini wastaafu ambao bado wanaheshimika sana nchini kama SAS, Warioba na labda Mzee RUKHSA wako kimyaaa kabisa. Panapofuka moshi........., na moto ukishawaka basi kuuzima kwake ni shiiiidaaaaaaaaaaaaaaaah!

Namuona kui anakodolea macho huu uzi kimya kimya ni aje kui? 😛😛😛
Pumba tu hueleweki upo upande gan kutaka maendeleo au kupinga maendeleo.... Mmetaka maendeleo hlf mnayaogopa... Kwan kuna faida gan mwanaume ukisifiwa kuongea
 
Back
Top Bottom