Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka au tunaelekea kufananua na Burundi na Rwanda in terms of freedom of speech....
Kuna kitu kinajaribu kujengwa kwenye hii jumuiya.... Tanzania ndio ilikuwa kimbilio lakini sasa mmh!!!
Ya Uganda ya Kenya ya Burundi na Rwanda katika ujumla wake yameshapandikizwa kwetu tayari
Nini kinafuata?
Halafu Sielewi kwa nini huwa nazisoma
Halafu unatuwekea mimacho ya paka shume!!?mkuu unataka tusilale au!!???2:45 usiku wa manane
Halafu Sielewi kwa nini huwa nazisoma
Online Typing...........
We know where you are
You cannot hide
You cannot run
We will pick you up in minutes
BIG BROTHER IS WATCHING YOU NOW........
Wapinzani wanakuwa kama vigeugeu .Ila kuna kitu kibaya kinajengwa....hebu angalia upinzani unavyonyanyaswa ndani ya jumuiya nzima ya Afrika mashariki
Ndo kisa na maana cha kumtoleeni simu ati Feki![]()
Ndugu zangu hamkani si shwari tena...you are being watched n monitored!take care
Uhuru wa kupashana habari umeingia kitanzini... mitandao ya kijamii imebanwa mbavu.... mada nyingi zenye kukosoa utendaji hazidumu tena popote
Kamatakamata ya kimyakimya inaendelea....kama wewe ni mpenzi na mkereketwa wa siasa za upinzani..badili mtazamo wako sasa...kimenuka na kumenuka
Tunarudi kwenye zama za kuongelea chini ya zulia kunong'ona na kunong'onezana utafikiri mahaba ya wizi
Tunarudi kwenye zama za kuangalia kushoto na kulia mbele na nyuma juu na chini kabla hatujaongea dukuduku
Ni kama maji yenye kina kirefu sana..yametulia tuli lakini Usijaribu kuingia....!tutakupoteza mara
![]()
Kuna jicho kali katili kizani LIOGOPE...! Tena liogope hasa..koleo na bisibisi vipo tena vipo sana na vimekolezwa makali...! Lala ukijua hilo amka ukitafakari
Nilisema na naomba niseme tena wakimaliza juu wakimaliza katikati watakuja chini....hawako mbali sasa...hawaonekani kwa macho lakini mvumo wao unasikika...JIHADHARI
Where we dare to talk openly inaelekea kubaki story[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji35] [emoji25] [emoji25] zinaumiza sana hizi hisia... tunaupa mwanga kisogo na kulikabili giza linaloogofya...! Giza lenye macho makali na masikio marefu
![]()
Wakati utaamua...! Wakati utasema...! Lakini kwasasa vuta handbrake...! You are being watched n monitored