Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh jua limezama nani kalizamisha..?
sisi wenyewe ama kuna mwengine...
Online Typing...........
We know where you are
You cannot hide
You cannot run
We will pick you up in minutes
BIG BROTHER IS WATCHING YOU NOW........
Em'bii zilipaa kama sukari lakini bado mpo
Tukazima imei lakini mpo
Sasa ni mwendo wa mvua nyingi
Kuna watu wananifuata fuata nataka niwaogopeshe wakija kwangu nawafungulia mlango na lipaka langu leusiiiii.......Ninavyowafahamu nyumbani kwangu watapaona kituo cha polisi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wa nini?
Chukua pembe 2 za ng'ombe zijaze udongo kisha chomeka manyoya juu yake halafu ufunge na vitambaa chekundu na cheupe halafu ning'iniza juu ya mlango au kwenye kiambaza huku ukiwa umezimwagia damu ya kawaida kabisa ya ng'ombeKuna watu wananifuata fuata nataka niwaogopeshe wakija kwangu nawafungulia mlango na lipaka langu leusiiiii.......Ninavyowafahamu nyumbani kwangu watapaona kituo cha polisi.
Tunataka au tunaelekea kufananua na Burundi na Rwanda in terms of freedom of speech....
Kuna kitu kinajaribu kujengwa kwenye hii jumuiya.... Tanzania ndio ilikuwa kimbilio lakini sasa mmh!!!
Ya Uganda ya Kenya ya Burundi na Rwanda katika ujumla wake yameshapandikizwa kwetu tayari
Nini kinafuata?
Naona kama jumuiya inatumika na kutumiwa vibaya kisiasa kwa faida na malengo ya kikundi fulani cha watukuna vidime viko kazini, I thing they have already script everything, they are now acting, lets watch and see, and wherever possible lets take a chance and win the game, no matter what.
Piga makofi kwa kwa kwaaduuuh,inabidi tuanze kuimba zile pambio za kidumu chama cha mitume na manabii
ccm malingalinga mpaka inatia huruma. .disco limeingia mmasai.Mshana umesema kweli.
Anza na hapa :anatega!
Sasa iga ufe.....
alisema wale buku 7 alianza nao na atamaliza nao
sasa hapo "mkoma nyani atakuwa nani? "
duu hii shida sasa MUNGU atujaalie![]()
Ndugu zangu hamkani si shwari tena...you are being watched n monitored!take care
Uhuru wa kupashana habari umeingia kitanzini... mitandao ya kijamii imebanwa mbavu.... mada nyingi zenye kukosoa utendaji hazidumu tena popote
Kamatakamata ya kimyakimya inaendelea....kama wewe ni mpenzi na mkereketwa wa siasa za upinzani..badili mtazamo wako sasa...kimenuka na kumenuka
Tunarudi kwenye zama za kuongelea chini ya zulia kunong'ona na kunong'onezana utafikiri mahaba ya wizi
Tunarudi kwenye zama za kuangalia kushoto na kulia mbele na nyuma juu na chini kabla hatujaongea dukuduku
Ni kama maji yenye kina kirefu sana..yametulia tuli lakini Usijaribu kuingia....!tutakupoteza mara
![]()
Kuna jicho kali katili kizani LIOGOPE...! Tena liogope hasa..koleo na bisibisi vipo tena vipo sana na vimekolezwa makali...! Lala ukijua hilo amka ukitafakari
Nilisema na naomba niseme tena wakimaliza juu wakimaliza katikati watakuja chini....hawako mbali sasa...hawaonekani kwa macho lakini mvumo wao unasikika...JIHADHARI
Where we dare to talk openly inaelekea kubaki story[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji35] [emoji25] [emoji25] zinaumiza sana hizi hisia... tunaupa mwanga kisogo na kulikabili giza linaloogofya...! Giza lenye macho makali na masikio marefu
![]()
Wakati utaamua...! Wakati utasema...! Lakini kwasasa vuta handbrake...! You are being watched n monitored