Tahadhari: Giza limeota macho halafu lina masikio

Tahadhari: Giza limeota macho halafu lina masikio

Duh jua limezama nani kalizamisha..?
sisi wenyewe ama kuna mwengine...
 
images
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wa nini?
Kuna watu wananifuata fuata nataka niwaogopeshe wakija kwangu nawafungulia mlango na lipaka langu leusiiiii.......Ninavyowafahamu nyumbani kwangu watapaona kituo cha polisi.

Matani pembeni tanzania inarudi karne iliyopita. Uongozi wa awamu hii hawajui kutisha na kunyamazisha watu walio jikatia tamaa na hawana cha kupoteza ni hatari sana. Stahiki zao hawapati halafu wananyimwa kuuliza kwa nini inakuwa hivyo.
 
Kuna watu wananifuata fuata nataka niwaogopeshe wakija kwangu nawafungulia mlango na lipaka langu leusiiiii.......Ninavyowafahamu nyumbani kwangu watapaona kituo cha polisi.
Chukua pembe 2 za ng'ombe zijaze udongo kisha chomeka manyoya juu yake halafu ufunge na vitambaa chekundu na cheupe halafu ning'iniza juu ya mlango au kwenye kiambaza huku ukiwa umezimwagia damu ya kawaida kabisa ya ng'ombe
Au chonga sanamu kama hii
e5d2379fec05db5ff9ade02913b22a15.jpg
au ile ya Babayaga
 
Tunataka au tunaelekea kufananua na Burundi na Rwanda in terms of freedom of speech....
Kuna kitu kinajaribu kujengwa kwenye hii jumuiya.... Tanzania ndio ilikuwa kimbilio lakini sasa mmh!!!
Ya Uganda ya Kenya ya Burundi na Rwanda katika ujumla wake yameshapandikizwa kwetu tayari
Nini kinafuata?

kuna vidime viko kazini, I thing they have already script everything, they are now acting, lets watch and see, and wherever possible lets take a chance and win the game, no matter what.
 
kuna vidime viko kazini, I thing they have already script everything, they are now acting, lets watch and see, and wherever possible lets take a chance and win the game, no matter what.
Naona kama jumuiya inatumika na kutumiwa vibaya kisiasa kwa faida na malengo ya kikundi fulani cha watu
 
duuuh,inabidi tuanze kuimba zile pambio za kidumu chama cha mitume na manabii
Piga makofi kwa kwa kwaa
Imba
Naapa na ahidi mbele ya Chama Mapinduzii nitakulinda mpaka ku ufaaa
(lakini si mapinduzi hii)
 
Mshana umesema kweli.
Anza na hapa :anatega!
Sasa iga ufe.....
alisema wale buku 7 alianza nao na atamaliza nao
sasa hapo "mkoma nyani atakuwa nani? "
ccm malingalinga mpaka inatia huruma. .disco limeingia mmasai.
...!.....kapewa rungu...!.....kakimbia na nguo[emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji85] [emoji144] [emoji144] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
7243ac8f950065ef79756575aba34f6d.gif

Ndugu zangu hamkani si shwari tena...you are being watched n monitored!take care
Uhuru wa kupashana habari umeingia kitanzini... mitandao ya kijamii imebanwa mbavu.... mada nyingi zenye kukosoa utendaji hazidumu tena popote
Kamatakamata ya kimyakimya inaendelea....kama wewe ni mpenzi na mkereketwa wa siasa za upinzani..badili mtazamo wako sasa...kimenuka na kumenuka
Tunarudi kwenye zama za kuongelea chini ya zulia kunong'ona na kunong'onezana utafikiri mahaba ya wizi
Tunarudi kwenye zama za kuangalia kushoto na kulia mbele na nyuma juu na chini kabla hatujaongea dukuduku
Ni kama maji yenye kina kirefu sana..yametulia tuli lakini Usijaribu kuingia....!tutakupoteza mara
6605ebd857797d297e46ae415f6e3207.gif

Kuna jicho kali katili kizani LIOGOPE...! Tena liogope hasa..koleo na bisibisi vipo tena vipo sana na vimekolezwa makali...! Lala ukijua hilo amka ukitafakari
Nilisema na naomba niseme tena wakimaliza juu wakimaliza katikati watakuja chini....hawako mbali sasa...hawaonekani kwa macho lakini mvumo wao unasikika...JIHADHARI
Where we dare to talk openly inaelekea kubaki story[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji35] [emoji25] [emoji25] zinaumiza sana hizi hisia... tunaupa mwanga kisogo na kulikabili giza linaloogofya...! Giza lenye macho makali na masikio marefu
92ecb61688981daa08d99db02cbe7c10.jpg

Wakati utaamua...! Wakati utasema...! Lakini kwasasa vuta handbrake...! You are being watched n monitored
duu hii shida sasa MUNGU atujaalie
 
Back
Top Bottom