TAHADHARI: Hali si shwari Simba..!

TAHADHARI: Hali si shwari Simba..!

Acha unafiki wewe simba haijawahi kufikia huko historia hiyo wanayo Chura tu (Yanga) walimfukuza mchunga na madega wakiwa wenyeviti wa Yanga kwa wakati tofauti kwa mawe mpk mchunga alitoroka kwa kupitia dirishani. Simba wasomi wengi waliojaa busara na hekima.
 
Hahahaaaa jamaa kaandika maneno matano umemjibu ukurasa mzima, angeandika ukurasa je, si ungeandaa kitabu kizima.
 
Acha unafiki wewe simba haijawahi kufikia huko historia hiyo wanayo Chura tu (Yanga) walimfukuza mchunga na madega wakiwa wenyeviti wa Yanga kwa wakati tofauti kwa mawe mpk mchunga alitoroka kwa kupitia dirishani. Simba wasomi wengi waliojaa busara na hekima.
Wasomi Simba! Hahahaaa.. Asikusikie Aden Rage! Walioitwa mambumbumbu na mwenyekiti wao wa Club ni team ipi!
Wanaodai points 3 ilihali wamefungwa na wamekiuka kanuni za rufaa ni nani..
Walioshindwa kuisoma na kuielewa mikataba ya wadhamini wa Club na kuingizwa Chaka na Sportpesa ni nani.... Hao ndo wasomi sio,. Hahahahaaaa
 
Kaka nenda kajifunze sheria ya mkataba ( contact law) simba mpk sasa wameingia mkataba na mdhamini mmoja tu naye ni sport pesa. Mo siyo mdhamini bali alikuwa anaikopesha timu na deni lake mpk sasa ni 1.4 bilion mdhamini hakopeshi sisi wana msimbazi ndo tunajua nyie wapita njia hamjui chochote kuhusu simba
 
Hivi mkopo hauna mkataba?.... Mkataba ni nini msomi wa Simba
 
Acha unafiki wewe simba haijawahi kufikia huko historia hiyo wanayo Chura tu (Yanga) walimfukuza mchunga na madega wakiwa wenyeviti wa Yanga kwa wakati tofauti kwa mawe mpk mchunga alitoroka kwa kupitia dirishani. Simba wasomi wengi waliojaa busara na hekima.
Kipukuswa alikuwa hajui kusoma wala kuandika na aliiongoza simba ya wasomi
 
Wasomi Simba! Hahahaaa.. Asikusikie Aden Rage! Walioitwa mambumbumbu na mwenyekiti wao wa Club ni team ipi!
Wanaodai points 3 ilihali wamefungwa na wamekiuka kanuni za rufaa ni nani..
Walioshindwa kuisoma na kuielewa mikataba ya wadhamini wa Club na kuingizwa Chaka na Sportpesa ni nani.... Hao ndo wasomi sio,. Hahahahaaaa
Wamesoma sana kaswidaaaa
 
Kaka nenda kajifunze sheria ya mkataba ( contact law) simba mpk sasa wameingia mkataba na mdhamini mmoja tu naye ni sport pesa. Mo siyo mdhamini bali alikuwa anaikopesha timu na deni lake mpk sasa ni 1.4 bilion mdhamini hakopeshi sisi wana msimbazi ndo tunajua nyie wapita njia hamjui chochote kuhusu simba
Mkataba ni makubaliano yoyote yanayotambulika kisheria.kulikuwa na makubaliano kati ya simba na Dewj ambayo yamekiukwa.
 
Kaka nenda kajifunze sheria ya mkataba ( contact law) simba mpk sasa wameingia mkataba na mdhamini mmoja tu naye ni sport pesa. Mo siyo mdhamini bali alikuwa anaikopesha timu na deni lake mpk sasa ni 1.4 bilion mdhamini hakopeshi sisi wana msimbazi ndo tunajua nyie wapita njia hamjui chochote kuhusu simba
Aliwakopesha kwa maneno?
 
Acha unafiki wewe simba haijawahi kufikia huko historia hiyo wanayo Chura tu (Yanga) walimfukuza mchunga na madega wakiwa wenyeviti wa Yanga kwa wakati tofauti kwa mawe mpk mchunga alitoroka kwa kupitia dirishani. Simba wasomi wengi waliojaa busara na hekima.
Nyinyi si mbumbumbu Fc hamjui haki zenu.
Sasa kama Uongozi unazingua kwa nini wabaki madarakani kama Raisi wenu asiye na Nchi wala ikulu Aveva ni wa kuwatimua tu ata kwa magongo.

Angekuwa kwa wakimataifa(YANGA ) tusingekubali abaki mpaka Leo kawaona nyinyi Mbumbumbu Fc A.K.A wamatopeni .
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Aveva ana akili kubwa? Toka lini,Aveva kilaza yule,kama Aveva ana akili kubwa basi,Simba ni nzi na mkiacha ujinga ipo siku mtatengeneza asali.
Aveva kashituka mhindi alikuwa anataka aendelee kutukopesha kesho itokee kama vyura fc deni la bilion 11 Aveva hapendi ujinga kaka.
 
Acha unafiki wewe simba haijawahi kufikia huko historia hiyo wanayo Chura tu (Yanga) walimfukuza mchunga na madega wakiwa wenyeviti wa Yanga kwa wakati tofauti kwa mawe mpk mchunga alitoroka kwa kupitia dirishani. Simba wasomi wengi waliojaa busara na hekima.
Malizia wasiochukua kombe miaka nenda miaka rudi..............
 
Acha unafiki wewe simba haijawahi kufikia huko historia hiyo wanayo Chura tu (Yanga) walimfukuza mchunga na madega wakiwa wenyeviti wa Yanga kwa wakati tofauti kwa mawe mpk mchunga alitoroka kwa kupitia dirishani. Simba wasomi wengi waliojaa busara na hekima.
Simba wasomi wengi akina bi. Hindu na Msagasumu
 
Wasomi Simba! Hahahaaa.. Asikusikie Aden Rage! Walioitwa mambumbumbu na mwenyekiti wao wa Club ni team ipi!
Wanaodai points 3 ilihali wamefungwa na wamekiuka kanuni za rufaa ni nani..
Walioshindwa kuisoma na kuielewa mikataba ya wadhamini wa Club na kuingizwa Chaka na Sportpesa ni nani.... Hao ndo wasomi sio,. Hahahahaaaa
Umeua!
 
Back
Top Bottom